Upendo ndiyo huu, Rais Magufuli na Lowassa

tz yetufom

Member
Jun 18, 2020
10
21
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Rais Dk. Magufuli.

1.jpg
2.jpg
3.jpg
 
festi ledi katinga nini hio chini?

lowasa kaenda hapo kwa lengo maalumu, labda hata LA kumshawishi jiwe amfanyie wepesi ili mkwe wake atoke gerezn
 
Hakuna upendo hapa ni unafiki tu wa kujikomba ili mkwe wake atolewe lupango. Ingekuwa ni upendo wa kweli wakati fisadi lowassa anatusiwa na maccm mbona hakutia neno? Na hata yeye mwenyewe alimtusi kwa kumuita JIZI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Rais Dk. Magufuli.
View attachment 1505717
 
Unapokimbia kuwa makini ili upate na nguvu za kurudi ulikotoka yawezekana adui yako kakuzungukia kwa mbele.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Rais Dk. Magufuli.
Wanatia watu usingizi na kuwaotesha ndoto?

Kwa hiyo Ngoyai anajizatiti kuingia kwenye kampeni, au sio? Pole zake.

Hivi Sioi alishatoka? Naona bei yake imekuwa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom