Upendo mkuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendo mkuu.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Aggrey86, Aug 23, 2011.

 1. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WAKATI WANADAMU WANAKUWAZIA KUSHINDWA MUNGU ANAKUWAZIA KUSHINDA,
  WAKATI WANAWAZA KUANGUKA KWAKO MUNGU ANAWAZA KUKUINUA MBELE YA MACHO YAO,
  WAKATI WANAWAZA JINSI GANI YA KUKUANGAMIZA MUNGU ANAWAZA JINSI GANI YA KUKUOKOA,

  NDUGU ZANGU WENYE MATATIZO MBALI MBALI TUSIKATE TAMAA TUZIDI KUMWOMBA MUNGU ATUSAIDIE NA KUFANYA JUHUDI YA KILE TUNACHOHANGAIKIA NAWAPENDA SANA NDUGU ZANGU WOTE WA JF NAWATAKIA NYOTE USIKU MWEMA NA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.

  I'lv u JF.
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahsante mkuu, na wewe pia!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana aggrey
   
Loading...