Upendo huu hata binadamu hauwezi

Kuna mda wanyama wanakua na huruma kuliko binadamu,trust me..!!ndo maana wazungu wanapenda vi pets ukivitreat vizur vinakua so friendly kuliko hata binadamu.
 
Mmmmm,huyo simba atakua kashiba awe na njaa ajishebedue hivyo.........
 
Huyo atakuwa amekapiga mkwara kwamba ukitoka tu nakutenganisha kiuno na kiwiliwili ili watoto wake wasije wakakuta kibudu.imebidi kawe kapole maskini kanasubiria kifo.
 
mshana jr i salute u kwa picha mkuu.....
umenikumbusha yule simba aliyemlinda mtoto wa nyumbu kwa siku 14 baadae simba wenzake wakaja kumla
 
Last edited by a moderator:
mshana jr i salute u kwa picha mkuu.....
umenikumbusha yule simba aliyemlinda mtoto wa nyumbu kwa siku 14 baadae simba wenzake wakaja kumla

Hata katikati ya wanyama kuna malaika, yapo matukio mengi tu ya wanyama hasa simba kulinda watoto wadogo
 
Last edited by a moderator:
Hata paka akimkamata panya huonyesha upendo wakati wa mwanzo lakini mwishowe humfanya hamna.
Same applies here.
 
mtoto ni mzuri kwa kila kiumbe ngoja akue kue kudadeki jamaa anamla
 
Kwani yy unafikiri hajui kama kuna Ebola ndio kasikilizia tu ila anaogopa maradhi
 
fuatilieni kisa cha huyo simba na mtoto wa nyani.ni kuwa huyo simba alimwua mama yake wakati amemaliza kujifunfua na alipogundua kuwa alikuwa na kichanga alikilinda mpaka alipotokea nyani dume(babayake)akamfukuza simba na kukichukua kichanga.very interesting. tafureni kwenye u tube.
 
Simba nae anajua fika kuwa akimla huyo Nyani hawezi kushiba hivyo ni kazi bure tu ni bora akae nae akiwa anaangalia ustaarabu mwingine wa kupata mlo wa kumtosha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…