Upendo haumo katika maneno

kwani kwenu mmeingiliwa na mafuriko
pole bestito ila chakufanya chukua
hayo magodoro na vitu viweke darini vitapona

Hapana Lady kwetu hayajaingia, mvua ndio imeanza. Nilimuona miss neddy kapanda juu ya bati na godoro lake, sijui kashashuka kule?
 
Last edited by a moderator:
Usijali cousin tuko pamoja katika shida na raha... Undugu sio kufanana bali kufaana!!!
 

we mbona ulikuwamo humu siku zote? mi nina reason
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kuwa na maisha ya amani hapa jukwaani ikubali BAN na kuifanya sehemu ya maisha yako, maana kuna watu wana maudhi na usipowapa haki yao unaweza ukapata kansa ya akili, mi mwenzenu baada ya kuikubali BAN nimekuwa na amani kwa kweli, siiogopi tena, tena kuna wakati naharibu afu najipeleka mwenyewe servan mods ndo wanakuja kuniambia hatujakupiga BAN.
 

Sure mkuu,hakika kuna watu wanakera.Ni bora kuwapa za ukweli then unakubal ban.Kama mie nimetoka kifungoni juzi tu.
 
sipendi ugomvi na wewe; sipendi unifuate kiasi hicho sipendi malumbano

napenda amani ,utulivu na kuchat na kila mmoja hapa mjengonio
sipendi unavyonifanyia spendi kabisa
we mbona ulikuwamo humu siku zote? mi nina reason
 
ni kweli kaka yangu unachokisema kuna mtu sasa hivi katoka kuniudhi kiasi kwamba nashindwa nimfanyie nini ameniudhi na na nimemchukia sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…