Upendo haumo katika maneno

Upendo haumo katika maneno

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini za siku nyingi
mabestito wangu niliwamisije?



ACHA NIWAACHIE KACHORUS KATAMU
KA KUWAKUMBUKA MARAFIKI ZANGU


Upendo haumo katika maneno;
unaonekana kwa matendo;
hauonekani kwenye raha;
wathibitika wakati wa shida.



Wimbo huu ulinifariji sana na kunifanya niwe murua,
sitasahau mateso, machungu niliyoyapata kifungoni,
wanaposema watu kifungo ni sehemu ya jela kweli
nimeamini' Kifungo kimenipunguzia hamu ya maneno;

Ingawaje wengine walifurahia kuona niko lupango;
ila kuna wengine ambao walihuzunika pamoja nami;
na wengine wadiliki kunitafuta kwa udi na uvumba;
ili mradi wasikie suti yangu, walininicarriage na kuwa
karibu yangu, kweli sitoweza kuwasahau kwani wao
ndio walionipa furaha nyakati zile.

mmojawapo ni Excel alimwambia binamu yangu kuwa
amenimiss; na wengine ni ndugu zangu katika ukoo wa watu8; kuwataja kwenye midomo yangu ilikuwa ni kila
siku hawa ndugu zangu wamenipa changamko la milele;
Kweli nimepewa ndugu humu mjengoni nimefarijika
daima unapoona uko kwenye shida, barriers mbalix2;
jua kuwa Mungu huwatuma watu wake wakulishe kama
ndege alivyokwenda kwa nabii isaya na kumpa nyama
nyakati zile za ukame kule misri, nawakumbuka sana Passion Lady, charminglady, na Lady doctor
ambao ndio walinitia moyo na kusema kuwa ipo siku
utatoka shimoni.

Marafiki msiombe kuingia kwenye BAN ni kubaya asikwambie
mtu kwani hata kilo za mwili zinapungua ukitaka kujua zaidi;
wewe muulize Baba V kwani nilikutana naye huko BANNED

Nimemsamehe 7x70 yule kauzu anayejifanya yeye ni mnyavtaka
na nimekuja kwa KISHINDO tena kwa UKAMANDA uliothibitika
MWALIMU WA WANAWAKE muelimishaji rika kaeni mkao wa somo

Nawatakia siku njema

Wasalamu;

Ladyf



CC: Erickb52, kabanga, Slave, Arushaone, Filipo, Annie, Bujibuji Himidini, The secretary, Madame B, sweetylady, FirstLady, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Kongosho, everlyn
na wengineo wengi samahani kwa wengine ambao sijawataja samahani sana
nawapenda
 
Last edited by a moderator:
asante nashukuru bestito
baba v ana cheo kikubwa sana kule
yeye ni Mkurugenzi mtendaji wa Ban

Pole sana ladyfurahia. Baba V yeye huko aneisha pazoea nadhani amesha pata hata cheo cha unyampala

Cc.
Baba V
 
Asante nawe barikiwa bestito nimewamiss sana jamani

pole kwa kugomewa na simu si unajua jana ilikuwa mvua
labda mionzi ya jua ilikataa bestito

umigusa sana na umenibariki mno, jana nilitaka kuanzisha ka sred ila kasimu kakanigomea.
Napenda sana nyimbo ya huyu kaka, albam nzima imesimama.

Ila huu unanibariki hadi naziona mbingu zikifunguka.

[jfmp3]View attachment 147585[/jfmp3]

View attachment 147585
 
bestito anakitumia kifungo cha uwakala meya huko
kwani alijipachika cheo hicho wakati tuko bungeni
kwenye ile jumuiya ya UKAWA na kuleta tafrani

Inaonekana umemwacha huko akitumikia hicho cheo mbona ka kimya sana
 

hebu njoo pande za huku nikuwaooooo my cousin!!
karibu tena mpnz,mic u mingi!!
 
ladyfurahia, mamii surely nilikumiss sana! tena sana...! naomba unifungulie mlango japo kwa dk 30 tuongee vizuri..!

i really missed you my sweet friend-!
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia kipindi unatumikia kifungo ni kama vile wote humu tulikua BANNED, uwepo wako nimuhimu sana.... Ila mimi nina wazo moja, yule aliekusababishia ungemsamehe 8x80 kiroho safi
 
Last edited by a moderator:
asante kwa kunimiss mambo jela bhana mabaya sana usiombe upelekwe lupango
yaani kule kuna mambo ya ajabu na Baba V ni kiongozi wetu
nilimpenda sana kwani alinifanya nisiwe na kazi nyingi kule alinipa kazi
inayoendana na mm nikaifurahia nakuipenda soon nitaileta hapa muicheki

MLANGO UKO WAZI
You're welcome

ladyfurahia, mamii surely nilikumiss sana! tena sana...! naomba unifungulie mlango japo kwa dk 30 tuongee vizuri..!

i really missed you my sweet friend-!
 
Last edited by a moderator:
jamaini kumbe na nyie mlisulubika kama mm poleni sana
yote nimemwachia Mungu kwani mtu unampa wadhifa
uiliotukuka yeye anakupeleka kwa PILATO kukuhukumu
huoni ana shida mtu huyo, nimeachana naye ila :juggle:
ladyfurahia kipindi unatumikia kifungo ni kama vile wote humu tulikua BANNED, uwepo wako nimuhimu sana.... Ila mimi nina wazo moja, yule aliekusababishia ungemsamehe 8x80 kiroho safi
 
Back
Top Bottom