Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.
Hata TRA Waislamu wasilipe kodi kwa sababu ni la kikristo majitu mengine yana akili kama ya Sugu
ahsante sana kwa utafiti mzuri ila nahofu hujakamilisha utafiti wako. labda una hofu na shungi kitu ambacho ni kweli zikikaa shungi tano zinaonekana sana kuliko vimini 50. kama si majungu unaleta hapa kama kina mama kisimani.
naomba utupe data hizi.
nssf ina wafanyakazi wangapi, maafisa waangapi, menejiment wangapi,
wakristo wangapi na waislam wangapi na
kada ya chini makarani, madereva, wahudumu wakristo wangapi waislam wangapi,
lete hapa ukipata kada ya maafisa waislam ni zaidi ya 40% nakupa tzs 100,000 cash
vinginevyo hayo ni majungu na udini wako peleka kisimani kwa wanawake wenzio