womanity tafadhali jaribu kutumia akili japo hata kidogo. Sijawahi kusema kuwa wanyambo ni wahaya, nimetaja makabia ya sehemu nilizoishi na makabila yao. True kuwa umalaya ni hulka ya mtu lakini kwa wahaya na wanyambo hakuna mfano. In short, wahaya na wanyambo wako related in every aspect na pia ni watani wa jadi japo wanaogopana. Wilaya ya Muleba japo ina makabila mengine lakini asilimia kubwa ya Muleba ni wahaya, just like Bukoba mjini. Nimeishi hizi sehemu na ninawajuwa wahaya fika hata lugha yao inapanda, siji hapa kuropoka tu....I know what I am saying. Ukitaka presha ya ndoa, oa mhaya, mnyambo, mchagga, mpare, mnyakyusa, mnyaturu, utaona joto la jiwe.