Upelelezi kabla ya kuoa

Upelelezi kabla ya kuoa

Tengeneza maswal yatakayompa uwanja wa kujieleza,,,hapo utapata mengi,,,,
 
Mnawapa watu kazi ya uchunguzi,,, mtakapopewa MAREJESHO kuhusu mchumba wako na idadi ya VIDUME aliowapanga,, mwisho wa Siku MNANUNIA WAPELELEZI.. hilo ndy tatizo kubwa,, wewe kama unataka kuoa,,, angalia moyo wako unasemaje,, NDOA ni pale moyo wako unapopata FURAHA..
 
Inategemea na mambo mengi, simply tumia viongoz wa diyn ako waliojiran nae
 
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers
Kwanza Fanya toba wewe,
Funga na kuomba kibali cha Mungu,make mwema hutoka kwa Mungu,
Angalia familia ya anayotoka unaetaka kuoa km umemuona angalia km wazazi wacha Mungu,
Then mengine yafuate,
NB sifa za nje za mke hazina faida yyte ktk ndoa,
 
Ukimchunguza bata sana huwezi kumla no one is perfect.people do change also....jichubguze mwenyewe kwanza upo kamili?mbaya zaidi kumjaji na ukoo wake.je ukoo wako hauna negatives zozote??....
 
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers

Kwani mbona ukoo wenu wa ovyo kabisa??
Nobody is perfect.
 
Wengine wakerewe au wajita wana viburi, kelele na gubu lisilo isha,.. Wanaamini sana Ndumba
 
Back
Top Bottom