Upelelezi kabla ya kuoa

Upelelezi kabla ya kuoa

Ukimchunguza bata sana hutaweza kumla we muoe tu Mzee baba.....
 
Kuna familia mlango wa 8 nux kimyama
 
Kama demu wa kihaya itakuaje mkuu

Yaani demu la kihaya ni demu la kuishi nalo au wa kumtokea? Kama unataka kujipa maradhi ya kujitakia tafuta demu la kihaya uishi nalo uone majirani zako watakavyopiga foleni nyumbani kwako.
 
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers
Mkuu siku au wiki ya kwanza tu unavyomtamani mwanamke ndo unatakiwa uyafanye haya, ili kutokuumizana kwanza ukigundua kuna shida wee mwenyewe utajishauri kumuacha
 
aanzishe urafiki wa karibu na wazee wa ukoo ule hao wazee watamsaidia kuifahamu vizuri huo ukoo na familia, kuanzisha ukaribu na wazee huwa iko hivi, nenda kijiweni wanapokaa wazee wengi uwe una wasalimia na kupenda kukaa nao na kuwapa ofa waambie mm mwanenu basi udhaifu wa wazee huwa ni zawadi ukimpa zawadi tu basi kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuanza kufunguka mengi usiyo yajua.
 
Ukimchunguza sana bata hutamla.... Let love lead
 
Yaani demu la kihaya ni demu la kuishi nalo au wa kumtokea? Kama unataka kujipa maradhi ya kujitakia tafuta demu la kihaya uishi nalo uone majirani zako watakavyopiga foleni nyumbani kwako.
Uache kudhalilisha makabila ya watu!!Hao wote wanaokitembeza ni wahaya!!Msomi hatakiwi kufanya hasty generalization!!!Ukute hata uhayani haujakaa unawajua wale wa Tandika na hapo mwananyamala!!! Nenda kasearch historia ya wahaya uone mtu alikuwa akikutwa Malaya anafanywa nini?
Nina watu ninaowajua makabila mengine wanajua kukitembeza Kama wana mota chini!!
Mshauri ampeleleze mtu kutukana makabila ya watu siyo poa!!!
 
ww jamaa nae hujui maradhi ya kurithi? khaa
Nayajua! Niliuliza hivyo nikiwa na maana yangu! Nilitaka jua ni yapi yanayozungumziwa hapa.
Kwa mimi sijaona maradhi yatakayonizuia kuolewa na mtu!
 
Uache kudhalilisha makabila ya watu!!Hao wote wanaokitembeza ni wahaya!!Msomi hatakiwi kufanya hasty generalization!!!Ukute hata uhayani haujakaa unawajua wale wa Tandika na hapo mwananyamala!!! Nenda kasearch historia ya wahaya uone mtu alikuwa akikutwa Malaya anafanywa nini?
Nina watu ninaowajua makabila mengine wanajua kukitembeza Kama wana mota chini!!
Mshauri ampeleleze mtu kutukana makabila ya watu siyo poa!!!

Nimeishi Muleba miaka miwili na nusu na Karagwe kwa wanyambo mwaka na miezi kadhaaa, I know these people very well. Pole kama umeumia lakini ndo ukweli huo. Wahaya wanatom.bana kindugu, we umeona wapi mtu anato.mba mtoto wa baba mdogo (ni ndugu hawa) na wala hakuna noma, only in Bukoba na Karagwe. Kuna mengi ila sitaki kusema tu. Bisha nikupe makavu mengine ya live live.
 
Wanawashinda wahaya au wanyambo?
Je ukikuta familia baba na mama wametengana, Dada zake karibu wote wapo wapo tu nyumbani hawajaolewa wana shughuli zao. Mama zake wadogo nao wapo wapo tu nyumbani hawajaolewa. Hapo vipi!!!!
 
Nayajua! Niliuliza hivyo nikiwa na maana yangu! Nilitaka jua ni yapi yanayozungumziwa hapa.
Kwa mimi sijaona maradhi yatakayonizuia kuolewa na mtu!
Kifafa, ukoma, wehu etc.......
 
Nimeishi Muleba miaka miwili na nusu na Karagwe kwa wanyambo mwaka na miezi kadhaaa, I know these people very well. Pole kama umeumia lakini ndo ukweli huo. Wahaya wanatom.bana kindugu, we umeona wapi mtu anato.mba mtoto wa baba mdogo (ni ndugu hawa) na wala hakuna noma, only in Bukoba na Karagwe. Kuna mengi ila sitaki kusema tu. Bisha nikupe makavu mengine ya live live.
Wanyambo siyo wahaya hata ukiwaita hapa watakataaa.... Muleba unayosema wewe imevamiwa na wasukuma kibao!! Mbona hausemi makabila yanayofanywa na wakwe zoo? Umalaya hulka ya mtu.. Sample na analysis yako haijajitoshelwza kusema wahaya Malaya...
 
Back
Top Bottom