vitako vyenyewe hana
Kazi ya kichwa siyo kufuga nywele tuu...ningekuwepo mtu angevuliwa suruari akaguliwe uchi walahi......na hakuna kuja mahakamani na baibui
Serious, hata mie wamenishangaza
Tangu lini mwanamke anamkagua mwanamme??
hapana.sisi wanaume tunapenda kukaguliwa na wanawake ndo tunaskia rahaaaa! utamu.
Mtume aliagiza tujilipue ili tupate sawabu peponi sa wametuskia
ningekuwepo mtu angevuliwa suruari akaguliwe uchi walahi......na hakuna kuja mahakamani na baibui
Acha chuki dhidi ya uislamu na waislamu, kama we wavaa kimini ili tuone tusivyotakiwa kuviona shauri yako, mwanamke stara sio kuonyesha makalio na chupi alliyovaa.
Mtume aliagiza tujilipue ili tupate sawabu peponi sa wametuskia
kwani lazima muangalie? mbona wanavaa baibui lakini wakifika disco wazivua wanabaki na vimini na bikini?
Kumbe alivaa tunazungumzia wakati anavaa anakuaje suala la kaenda nalo wapi na akifika anafanyaje hili linabaki kuwa n utashi wa mtu na makusudio yake mwenyewe ila dhana ya kuwa hijabu n stara haifutuki kisa kua eti wakienda dsko na kokote kule wanavua kwan pia wakioga s wanavua au..