ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
[h=3]KESI YA PONDA , POLISI WAJIHAMI NA MILIPUKO[URL="http://mrokim.blogspot.com/2012/11/kesi-ya-ponda-leo-polisi-wajihami-na.html#comment-form"]S[/URL][/h]
Katika hali ya kuhakikisha hakuna tukio baya na la madhara kwa wanachi na mashambulizi ya kigaidi ndani ya jengo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini dar es Salaam kutokea, Polisi na vyombo vya ulinzi vimeweka utaratibu wa kuwapekea watu wote wanaoingia mahakamni hapo hasa siku za kesi tata. Pichani ni hali ilivyokuwa wakati wa kusikilizwa kwa kesi ya Shekhe Ponda na wenzake leo ambapo Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi
KWA NINI ANICHUNGULIE HUYU DADA??? (JAMAA ANAULIZA KWA HASIRA)
Posted in:
KESI YA PONDA LEO, POLISI WAJIHAMI NA MILIPUKO ~ Father Kidevu

Ponda akiwa Mahakamani. Picha zaidi HABARI MSETO BLOG