Updates za uchaguzi wa ndani CHADEMA....

Jeff Mangi

Member
Sep 23, 2019
62
40
CHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe⁩ ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.

CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
 
Naona anaanza tengenezewa zengwe kisa tu katamka kugombea nafasi ya mwenyekiti.chadema acheni visingizio wanachadema wataamua kwenye kura.
Mbona ccm mnahangaika sana na Uenyekiti wa Kamanda Mbowe? Shughulikeni na Membe kuchukua fomu itapendeza zaidi
 
Wakati lumumba moto unawaka
Taarifa zaidi kutoka Ufipa zinasema Mashinji akishirikiana na watu fulani fulani akiwemo mwambe anatingisha kibiriti cha mbowe kuona kama kina njiti ama laa kwa sababu hadi sasa Mashinji yupo sidelined na anahusishwa na kukisaliti chama hicho na kwamba baada ya tarehe 9 disemba hatakuwa tena katibu mkuu wa CHADEMA....

Hivyo kutokana na hali ya kimaisha (madeni yanayomuandama kibiashara binafsi) amebaki na machaguo kadhaa

1. Ajisalimishe CCM

2. ashirikiane na wenzake wasio na matarajio ya kuishi ndani ya CDM baada ya kuchaguliwa upya kwa mbowe

3. Awasaidie na kuwaibua wagombea wengine kama mwambe

Ili aweze kuendelea kupata mshahara wa CHADEMA utakaomwezesha kusogeza siku mbele.....
 
CHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe⁩ ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.

CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
Cecil Mwambe hana mpinzani Uenyekiti wa Chadema hapo December 2019!
 
CHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe⁩ ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.

CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
Kigogo ni ZZK
 
Hapo updates ziko wapi ?
 
Umeanzisha mada ya hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom