TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,297
Wakuu habari zenu!
Kupitia uzi wa tarehe 1/4/2014 wenye maudhui "graduate sacos au vikoba" leo wadau wote tumekutana mwenge, miongoni mwa tulio afikiana ni yafuatayo: tumeanzisha jumuiya itaitwa " tanzania graduate association", pili: tumeanzisha tanzania graduate vikoba, tatu: tupo mchakato wa awali wa kuanzisha NGO'S, nne:tupo mchakato wa awali kuanzisha baadhi ya miradi na kampuni tofauti tofauti na n.k, hivyo tunapenda kuwa taarifu wadau wote ambao wako tayari kujiunga na sisi, wafike siku ya jumamosi ya 12/04/2014,
MUDA: saa 9 kamili mchana, MAHALI: river side bar- ubungo river side,
MAWASILIANO: 0717 309119(Afisa habari) ,
UJUMBE: "vijana fursa zipo nyingi, tuunganeni" na ukipata taarifa hii, mjulishe na mwenzio. amani iwe kwenu.
UPDATE: kuna watu wengi wananiuliza kwamba graduate inaanzia level gani?
jibu🙁 Certificate hadi PHD )
Asanteni