Updates za Tanzania Graduate SACOS and Vikoba

Updates za Tanzania Graduate SACOS and Vikoba

wazo zuri sana na likisimamiwa kizalendo litatufikisha mbali.
tatizo ni moja kwamba hatuaminiani hata kidogo.......
 
wadau wa TANZANIA GRADUATES ASSOCIATION mnaombwa kutembele email zenu ili kupata taarifa ya kikao cha wiki iliyo pita. ni vyema kama utahifadhi taarifa hiyo kwa matumizi ya baadae.
Asanteni
 
Back
Top Bottom