Unapoanzisha uzi fikiria watu ambao ndo wanasoma hiyo habari kwa mara ya kwanza.

Yule dada hajafa jamani
ndo mana nimespecify for those only who are at gathering,we kama haikuhusu unatulia,najua wanajf wapo wengne msibani,ya nin nianze story how she dead?

kwa waliopo msibani kibamba chama,plz mtu update tulio mbali
Kwanini alipigwa risasi jamani??hii tz hakuna shida yoyote,,
Lugha za watu hizi jamani, zitendeeni haki.