updates za kujiunga na jeshi jkt/jwtz

updates za kujiunga na jeshi jkt/jwtz

Maliselo

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
233
Reaction score
30
please mwenye any infor kuhusu hilo hapo juu please share with us, coz tunasubir sanaa
 
Tatizo vijana ni wabishi nyie, utaratibu wa sasa ni kujiunga kwa kupitia Jkt, na unajiunga sawa na mwenye elimu ya msingi, sekondari na vyuo, ukishajiunga unasota kwanza mpaka nafasi za kwenda kadeti zitoke, hiyo inaweza kuchukua miaka miwili au zaidi.
 
Tatizo vijana ni wabishi nyie, utaratibu wa sasa ni kujiunga kwa kupitia Jkt, na unajiunga sawa na mwenye elimu ya msingi, sekondari na vyuo, ukishajiunga unasota kwanza mpaka nafasi za kwenda kadeti zitoke, hiyo inaweza kuchukua miaka miwili au zaidi.

kama hauna professional utasota na unaweza usiitwe kabisa.
 
Kumbe tuko wengi? Mimi niliongea juzi juzi na Maj.Gen flan ambaye ni mkuu wa 34KJ akaniambia nafasi za professionals kwaajil ya officer cadet ni january,ila lazima uhenye jkt kwanza unless utumie mbinu kama zangu kwamba unamtumia mkubwa then nafas zikitoka jina lako nalo linaonekana ulipitia mafunzo ya jkt kambi flani then unazama tu.

Maskinii...ushajiharibia!!!
 
kwani wewe nani by the way usipende kuongelea status yako iyo ni kuwatisha wenzako psychologically kama unajua kua we ni mtt wa mkubwa kaa kimya, nadhani umenipata.

we mzee wa loliondo, mbna unataka kuleta upumbavu wako hapa? km mtoto wa mkubwa ndo ucende jkt? Ila tambua ukiingia chuo lazma uulizwe. Km hauamini utaumbuka hebu rejea mgomo wa udsm chini ya akina matare na kurudishwa kwa mtoto wa mkubwa toka uturuki ili aende jkt kwanza hii ilitokea baada ya mtoto wa maskin kutaka kufukuzwa chuo eti kisa hajapitia jkt thus na wao wakataka mtoto wa mkubwa aliyekuwa chuo huko uturuki arudi.
 
msaada tafadhali

Mkuu kuna intake mwezi wa kumi but ni kwa wale wa levo ya form six ila kama wewe ni mhitimu wa chuo, unaweza ukasubiri intake ya january. Let me explain something maana naona kwatu wameni court vibaya:
Jeshi siku hizi nafasi za professionals zinatangazwa ni chache lakini waombaji ni wengi sana maana vijana wengi wamegundua jeshi la sasa lina maslahi sana. Kwa mfano, ukimaliza mafunzo kwa wewe uliyeenda kwa ngazi ya shahada, unaanzia cheo cha Luteni (nyota mbili) na si Luteni usu kama form6. Kwa sasa mshahara wa luteni roughly ni kama 1.2M ukiachana na marupurupu. Sasa kwakua nafasi hizi zinakua chache, mara nyingi inabidi uwe na mtu unaefahamiana nae akufanyie mpango. Sasa swala jingine ni la jkt, siku hizi there is no directly entry kwenda TMA (tanzania millitary academy)-monduli. Lazima upitie mafunzo jkt halaf ndipo uende depo la JW. Lakini tunarudi kule kule, kama unae mtu unaefahamiana nae mwenye wadhifa wa juu, unaweza kutulia tu unapiga ishu zako nyingine, siku majina ya wanaoenda TMA lako pia linakua included kwahiyo unakua umekwepa shurba ya kupitia jkt. Upo mkuu?
 
Mkuu kuna intake mwezi wa kumi but ni kwa wale wa levo ya form six , nimekusoma ipasavyo mkuu, ila sijakuelewa hapa kwa level ya form six una maanisha hawa wa kwa mujibu wa sheria au form six yeyote?
 
Back
Top Bottom