Duh! Bonge la zengwe jaman wakuu si juz juz nkajchanganya na lile tangazo la kizushi pale makao makuu upanga jwtz kufika pale mi na wenzangu afande akaanza kutupa somo bhana kuwa tangazo hilo sio la kweli subirini mtatangaziwa hzo nafasi za professional wakat utakapowadia ila waka2pa option tuziache zile barua au turudi nazo dah! Wengne tulirud nazo wengne wakaziacha yan hata sikuelewa nini falsafa yao wale jamaa ila kiukweli njia panda kuhusu hizi ajira wanajamvi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.