Updates za Kesi ya Bandari

Updates za Kesi ya Bandari

Senior State Attorney - serikali imeamua kuondoa mapingamizi iliyoyaweka awali tarehe 20/07/2023

Ni hatua nzuri serikali kutochelewesha kusikilizwa kesi hii muhimu ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi

25 July 2023
Mbeya, Tanzania

SERIKALI YAFUTA MAPINGAMIZI KESI YA BANDARI MBEYA, WAKILI BONIFACE MWABUKUSI ANENA..

 
Kama huko madrassa wangekua wanawafundisha vitu vya maana, basi ungejua kua jina la mtu huanza kuandikwa kwa herufi kubwa!
Ungeelimika japo kiduchu ungeelewa kuwa ndivyo alivyoandika mwenyewe, mimi nime-tag tu.

Kwa uelewa wako nilivyokusoma, sidhani kama utanielewa.
 
Back
Top Bottom