Updates za Corona Tanzania

Chenga zako zimeelekea kwenye mmea! Vipi unaompango wa kuilima nini maana hata nikisema chochote utasema ni mmea!! Hata Mimi naona umeula mmea tusubiri korona itukorone hakuna namna
I am a faithful user of the sacred weed... Kwanini niongope saaa3

Jr
 
I am a faithful user of the sacred weed... Kwanini niongope saaa3

Jr
Ha ha ndio maana muda mwengine unakujaga na tabiri za timu zako weed fc vs hirizi pumuzi fc😂 hapo matokeo lazima uone nne mbili..
 
Ha ha ndio maana muda mwengine unakujaga na tabiri za timu zako weed fc vs hirizi pumuzi fc
hapo matokeo lazima uone nne mbili..
Weed never lie brother.. That's a prophetic leaf


Jr
 
Corona Virus: Watanzania hawata wasamehe ugonjwa huu ukifika Tz
Jr
 
Mshana mawazo yako na maswali yako wengi tunayo lakini yamekosa majibu ila ukweli nikwamba Ccm wana majibu ndomaana wanawatuma kina Polepole watukejeli.


Natafuta uhusiano uliopo kati yakusalimiana kwa mikono na miguu uku Wachina na Waitaliano wakiingia na kutoka nchini bila ukaguzi wakina kufanyika. Nawaza kiTanzania kama Marekani wanadai wamepungukiwa vifaa vya ukaguzi sisi itakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ndio kila kitu "Mungu asipolinda mji wale wakeshao wafanya kazi bure"
Magonjwa mengi yanaandaliwa na wazungu ili kubalance uchumi wa dunia kwa kupunguza watu. Unaona Corona inaonekana kutokea China eneo ambalo linasemekana kuwa na watu zaidi bilion lakini ni Nchi inayotishia Dora ya Marekani na Ulaya kwa ujumla. Naamini ugonjwa huu una kinga na tiba kama ilivyo kwa UKIMWI,ALARIA KIPINDUPINDU nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…