Naangalia hapa... Watu hamna. Kiukweli kumedoda sana. Barabarani naambiwa wamejaa askari na wanajeshi. Na maduka mengi hayajafunguliwa.
Naomba tuendelee kupeana updates hapa. Jana pascal njaa alijaribu naye kukaribisha watu waende sabasaba. Lakini watu wamemgomea naye maana wanajua hana lolote la kuwalinda yakitokea ya kutokea
Vijana wameandaa maandamano mengine tar 29 October ili kuwakumbuka wapendwa wao waliokufa mwaka Jana , siku hii hatatoka MTU ndani zaidi ya siku hii ya Leo....Kwa miaka yote ya Samia kutakuwa na shida kama hizii