Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Akiteuliwa kuwa mgombea wa ccm Ukawa wanachukua nchi saa 4 asubuhi wanakunywa chai ikulu.
 
Mkuu kiloriti unategemea kuna jipya la maana lolote huko?.Subiri utaona kama kutakuwa na tofauti zaidi ya kupakana mafuta na sifa za uongozi uliotukuka!
 
We mwenyewe ukoma.ndondocha wewe kama huji kutafuta fweza ni juu yako wenzio wanapiga kaz.acha kuishi kwa kucheza bao
 
UZi wa namna hii sio JF, huna taarifa subiria taarifa zitakuja tu, sasa unaandika hakuna content yoyote kwa maslahi yapi?? ya kuanzisha uzi??? am sorry i did not like it at all.
 
UZi wa namna hii sio JF, huna taarifa subiria taarifa zitakuja tu, sasa unaandika hakuna content yoyote kwa maslahi yapi?? ya kuanzisha uzi??? am sorry i did not like it at all.

I like ur post..bse u did the same thing.
 
woga na wivu ndio msukumo wa chuki dhid ya lowassa kwa wale ambao hawako nae kwan upepo wake unatisha
 
tumefiwa na muhamasishaji wa chama kwenye nyimbo, kwahiyo tumechanganyikiwa maana ni kiungo sana.
 
Sasa Magamba sijui wataimbiwa na nani!!!!?
 
Sina updates, ila sijui kama wana taarifa kwamba mwimba mashairi wao mkuu is no more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…