Updates ya miradi mbalimbali iliyokwama kumalizika

Uzi huu utakuwa maalumu kwa kupeana taarifa za miradi mbalimbali inayosuasua au iliyokwama kumalizika ujenzi wake ili kusaidia kuiamsha serikali iweze kutupia jicho kwenye hiyo miradi iweze kuisha na kuwa msaada mkubwa kwa watanzania.

1.Niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Maswa. kijiji cha Mwabayanda kuna bonge la zahanati lakini umaliziwaji wake unasuasua na inadaiwa na wenyeji wa hapa kuwa kandarasi haonekani site kwa muda mrefu sasa.

3.Pia kule jimbo la Mtama mkoa wa Lindi madiwani wamelalamikia ujenzi wa hospitali ya wilaya umekwama kuisha licha ya pesa zote zaidi ya millioni 500 kupelekwa!.

4.Licha ya serikali kupitia naibu waziri wa ujenzi mh Mwita Waitara kukanusha kuwa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Kimara hadi Kibaha haujakwama kukamilika lakini wakazi wa pembeni mwa barabara hiyo wamesema hawajawahi kumuona kandarasi anayejenga barabara hiyo kwa miezi 2 sasa!!

Da watu wamepangwa ,kualibu madaa yoyote itakayo waalibia naona pesa inafanya Kaz,
 
Nikajua miradi ya maana kumbe zahanati? Kama ni hiyo Iko rundu mingine Ina zaidi ya miaka 6 maana Mingi yake ni Nguvu za Wananchi hasa mabomba yanasubiria Serikali ikamilishe.
 
Tumerudia awamu ya nne ambapo pesa ya serikali inatolewa ila mradi haukamiliki.

Awamu ya nne na sita ni mtu na nduguye.

Watendaji ni wale wale na aina ya upigaji ni ile ile.
 
Ama kweli wewe ni mpumbavu unasema zahanati sio mradi wa maana.

Si ajabu kukuona kushabikia awamu hii illiyojaa wezi.

Nimehitimisha kuwa Huna akili kabisa.
 
Tumerudia awamu ya nne ambapo pesa ya serikali inatolewa ila mradi haukamiliki.

Awamu ya nne na sita ni mtu na nduguye.

Watendaji ni wale wale na aina ya upigaji ni ile ile.
Inasikitisha sana
 
Kuna kichaa alikurupuka kutafuta sifa kwa kuanziaha miradi mingi bila kufanya tathimini ya uwezo wa kiuchumi wa nchi
Lakini angekuwepo yeye ingemalizika
Sasa hivi pesa haziendi site zinaenda kwenye miradi ya watu
 
Ring road ya ndani Dodoma mradi umeshafutwa...hakika Mama anaupiga mwingi hadi kwenye matope!.
 
Ewe zuzu mradi wa makao makuu Chadema unaisha lini
Kwa taarifa tu ni kwamba wewe una nongwa na serikali ya SSH kama ilivyo kwa sukuma GAANG. Miradi huko mikoani inaendelea vyema kabisa ila hakuna makamera wala vipindi vya TBC kuisifia kama vile TUNATEKELEZA na ujinga mwingine
Tuseme ukweli uliposema hapo chatto kaburini miradi bado inajengwa ulimaanisha inajengwa ipi na hizo up dates ni za miradi ipi?
Ukiambiwa Huna AKILI USIBISHE.
Mradi wa makao makuu wa chadema ndiyo ajenda yako ukishindwa kujibu unafiki wako dhidi ya serikali tulivu ya mama.
Watu wa pwani siyo washamba kama wasukuma wanaobabaika hata na wake weupe tu.
Chadema inajenga ofisi zaidi ya 4000 huko mikoani wewe umeshikilia jengo moja la udipa!
Kama siyo uzuzu huu wako ni nn haswa?
Kamfufue uzikwe wewe basi mungu kesha tenda wema hivyo
 
Tutajie wewe miradi iliyokamilika
Serikali haifanyi kazi zake kwa matangazo wala kufuata kikundi fulani cha watu? Yale madarasa ya UVICO 19 ninini siyo miradi ile? Au kwako wewe miradi ni barabara tu? Toa ujinga wako hapa. Utajiwe miradi kwani kuna kampeni za kuomba kura hapa??
Wewe akili zako za kishamba sana ndo mana unafikiria kila anayeishi ulaya anafanya ujinga wakati kuna watt kibao wa viongozi wako walioiba MALI ZA UMMA wana mpaka URAIYA
Bongo zozo.
Akili za kimasikini zinakusumbua weee
 
Tumerudia awamu ya nne ambapo pesa ya serikali inatolewa ila mradi haukamiliki.

Awamu ya nne na sita ni mtu na nduguye.

Watendaji ni wale wale na aina ya upigaji ni ile ile.
Kamfukueni aje apige watu risasi, kuteka na kuua tena.
Lishakuwa mavumbi hivi sasa
 
Serikali haifanyi kazi zake kwa matangazo wala kufuata kikundi fulani cha watu? Yale madarasa ya UVICO 19 ninini siyo miradi ile? Au kwako wewe miradi ni barabara tu? Toa ujinga wako hapa. Utajiwe miradi kwani kuna kampeni za kuomba kura hapa??
Wewe akili zako za kishamba sana ndo mana unafikiria kila anayeishi ulaya anafanya ujinga wakati kuna watt kibao wa viongozi wako walioiba MALI ZA UMMA wana mpaka URAIYA
Bongo zozo.
Akili za kimasikini zinakusumbua weee
Bandiko refu lakini hujataja miradi iliyokamilika
 
Uzi huu utakuwa maalumu kwa kupeana taarifa za miradi mbalimbali inayosuasua au iliyokwama kumalizika ujenzi wake ili kusaidia kuiamsha serikali iweze kutupia jicho kwenye hiyo miradi iweze kuisha na kuwa msaada mkubwa kwa watanzania.

1.Niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Maswa. kijiji cha Mwabayanda kuna bonge la zahanati lakini umaliziwaji wake unasuasua na inadaiwa na wenyeji wa hapa kuwa kandarasi haonekani site kwa muda mrefu sasa.

3.Pia kule jimbo la Mtama mkoa wa Lindi madiwani wamelalamikia ujenzi wa hospitali ya wilaya umekwama kuisha licha ya pesa zote zaidi ya millioni 500 kupelekwa!.

4.Licha ya serikali kupitia naibu waziri wa ujenzi mh Mwita Waitara kukanusha kuwa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Kimara hadi Kibaha haujakwama kukamilika lakini wakazi wa pembeni mwa barabara hiyo wamesema hawajawahi kumuona kandarasi anayejenga barabara hiyo kwa miezi 2 sasa!!
==
Lindi. Madiwani wa halmashauri Mtama mkoani Lindi wamekerwa na kitendo cha Sh500 milioni kutotosha katika ujenzi wa wodi tatu za hospitali ya wilaya.

Kutotosha kwa fedha hizo kumeelezwa na mhandisi idara ya ujenzi, Abruhan Juma kutoa taarifa ya kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa wodi ya uzazi, wanaume na wanawake kwamba umekwama kwa sababu kiasi hicho cha fedha kuisha na kuhitajika nyingine Sh198 milioni.

"Mradi umesimama baada ya ongezeko la mahitaji ya vifaa ikiwemo mbao na silingi bodi," amesema Juma.

Madiwani Halmashauri ya mtama mkoani Lindi
Akizungumza kwa niaba ya madiwani, diwani wa Nahukahuka, Hamza Nguachi amesema wanatambua Serikali imepeleka Sh500 milioni lakini cha kushangaza hazikutosha," fedha hizi zimepelekwa kila wilaya kwa maelekezo lakini kwingine zmemaliza ujenzi ila Mtama zimeshindwa kukamilisha ujenzi na kunahitajika nyingine kama Sh200 milioni," amesema Nguachi

Diwani mwingine, Hawa Nameta amesema uadilifu kwa watendaji umekuwa mdogo kwani wamekuwa wakijali maslahi yao binafsi kuliko halmashaur hali ambayo isipo zibitiwa itaendelea kudidimiza maendeleo ya halmashauri.

"Siku mmoja nilitamani kulia nliipoambiwa kuna vifaa vya ujenzi vinatakiwa kununuliwa nje ya halmashauri ya Mtama wakati vinapatikana kila mahali hapa tena kwa bei ya kupatana," amesema Nameta

Rashidi Mega, mwenyekiti wa kijiji cha Kiwalala amesema kitendo cha madiwani kuhoji na kutokubaliana kuongeza fedha za kumalizia mradi wa ujenzi wa wodi tatu ni sahihi kwani miradi ya Serikali inaletwa kwa bajeti na maelekezo.

"Kwanza niwapongeze madiwani wangu kwa kuwa na msimamo wa namna hiyo wakiendelea na tabia hiyo watarudisha uaminifu, uwajibikaji na uadilifu kwa watendaji," amesema Mega.

Mkurungezi mtendaji wa halmashauri hiyo, George Mbilinyi amesema wana changamoto nyingi ikiwemo matumizi ya fedha bila kufuata utaratibu, miradi kutokamilika kwa wakati.

"Ndugu zangu hii halmashauri inakosa usimamizi kila mtumishi alikuwa anafanya kazi kivyake na kimazoea kulikuwa hakuna wa kusimamia hayo, nimewaomba madiwani kunipa muda kurudisha nidhamu kazi, uadilifu na mahusiano," amesema Mbilinyi.
Uko Mtama si ndiyo kwa wale wanaojiona hii nchi walirithishwa na Babu zao.(Nape &Membe)
 
Kwa taarifa tu ni kwamba wewe una nongwa na serikali ya SSH kama ilivyo kwa sukuma GAANG. Miradi huko mikoani inaendelea vyema kabisa ila hakuna makamera wala vipindi vya TBC kuisifia kama vile TUNATEKELEZA na ujinga mwingine
Tuseme ukweli uliposema hapo chatto kaburini miradi bado inajengwa ulimaanisha inajengwa ipi na hizo up dates ni za miradi ipi?
Ukiambiwa Huna AKILI USIBISHE.
Mradi wa makao makuu wa chadema ndiyo ajenda yako ukishindwa kujibu unafiki wako dhidi ya serikali tulivu ya mama.
Watu wa pwani siyo washamba kama wasukuma wanaobabaika hata na wake weupe tu.
Chadema inajenga ofisi zaidi ya 4000 huko mikoani wewe umeshikilia jengo moja la udipa!
Kama siyo uzuzu huu wako ni nn haswa?
Kamfufue uzikwe wewe basi mungu kesha tenda wema hivyo
Dah, umepiga mshononi. Sidhani km atarudi tena
 
Back
Top Bottom