Updates ya kesi ya bandari majibu ya mawakili wa serikali. 26th July 2023

Serikali za nchi mbili ndani ya siku 30 baada ya kusainiwa unahalalisha bindingness under international law.
Serikali ya Tanzania imechuka karibu miezi minane kufanya hivyo, Je, tumekiuka Mkataba?
Kila mhusika kwa taratibu zake na sheria za ndani ufanye ratification ili uwe na hadhi ya sheria za kimataifa Na ndio sababu ya IGA kupelekwa Bungeni. Na ndio maana mbele yenu kunamalalamiko ya namna IGA ilivyoridhiwa.

Tatizo ni kwanba Dubai Ports World haijapeleka IGA bungeni kwao? au kwenye mihimili inayoridhia. Treaties za Nchi husika, na hata kama wamefanya hivyo, Inapatikana wapi hilo Azimio lao la Kuridhia mkataba?
Baada ya kusema hayo, hoja yangu ni kwamba IGA ni Mkataba wa kimataifa uliopitia mchakato wa 63[3]e ya KATIBA
Kwa hiyo there is a
consensus ni Mkataba?
 
Mpaka sasa sijaona hata kipengele kimoja cha "kesi ya bandari" kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha.

Tuoneshe katika malalamiko hapo wapi kuna "kesi ya bandari"?
 
Rostam Aziz alituambia hizi Mahakama zetu inapigwa simu tu pale Kwa Jaji kesi kwisha kabisa au sio
Wachana na Rostam Aziz, humuwezi kabisa yule, yule sasa ni mfanyabiashara wa Kimataifa, siyo wa kitaifa pekee.mwenzako saa hizi anauza gas Zambia wwewe umekaa na gas yako unajambajamba tu bila mpango.

Usishindane na mtu anaeziona fursa akazitumia na wewe unaeiona fursa ni kupata elfu kumi na kwenda kubeti.

Wewe tazama hii kesi utaelewa maaana ya kukurupuka na maana ya mawakili wasio na kazi ni nini.

Hapa kwenye hii kesi mimi ndiyo ningekuwa wakili wa serikali, ningefanya uhuni wa kuichelewesha kila siku ili tuone hao mawakili uchwara watategemea michango ya kina Anna Tibaijuka mpaka lini.

Wamewakuta serikali ya mama haiendeshi mambo yake kihuni.


Sijaona kwenye malalamiko hata kifungu kimoja kinachoongelea "kesi ya bandari" kama bichwa la habari. Wewe umekiona?
 
Kijana vipi? Umelewa? headings zako "kesi ya bandari" tukisoma tunakuta ni kesi ya katiba? Kulikoni?


Kwanini mnawadanganya Watanzana mmdfunguwa "kesi ya bandari" wakati mmefunguwa kesi ya katiba?

Huu ni upunguani wa hali ya juu wa wanaojiita "wasomi" unafunguwa kesi ya katiba halafu huoneshi kifungu cha katiba kilichovunjwa?


Hakuna kesi hapo, kuna ujinga tu.
 
Mapambano yakukomboa bandari zetu watanganyika yaendelee..
Hakuna mapambano yoyote, msijidanganye. Hapo kuna ujinga tu unaendelea.

Kama ni uamizi tayari majaji wanao, hata mimi nisiye mwana sheria nimeshaona hakuna kitu hapo.

Wewe unaona kuna kesi ya bandari hapo?
 
Usituchoshe tunasubilia uamzi wa Mahakama
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hii kesi naiona kama imeshapoteza mwelekeo. Kila nikifuatilia hizo proceedings najikuta hata sijui ni nini wanachokitaka na kukipigania.
Kuna mihemko na utoto mwingi kwenye hii kesi.
 
waomba wananchi warudi mezani kuongea na mheshimiwa rais kwani Mheshimiwa Rais ameonesha nia kusikiliza maoni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa sijaona hata kipengele kimoja cha "kesi ya bandari" kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha.

Tuoneshe katika malalamiko hapo wapi kuna "kesi ya bandari"?
Nani kakuambia kuna kesi ya bandari?? Ninachofahamu mimi kuna kesi ya kupinga mkataba wa kihuni na kiwizi
 
Huyo ni porojo tu anawajaza ujinga "wajinga ndiyo waliwao". Hata mimi ningelipwa kama yeye ningeongea utumbo zaidi ya huo.


Hakuna hata kimoja katika hayo yaliyopo mahakamani.


Ushuzi tu hao, anakinukisha kwa wajinga wanaopelekeshwa kwa maneno. Wengine tushastuka zamani, na mama kastuka mapema zaidi, wala habari hapati, anaesena aseme, yuooi huru, aneenda mahakamaniaende yupo huru, anaefanya maandamani afanye yupo hur, anaefanya mikutano ya kidini akaiita ya sias yupo huru. Mradi kuna sheria za nchi zitafanya kazi zake.


Mama hatoki kwenye reli ya sgr. sasahivi kishashika kazi, hamuteteresi kwa vijineno-neno kama vya waleeee.
 
Hivi wewe Bibi unatatizo gani kichwani?
 
Nani kakuambia kuna kesi ya bandari?? Ninachofahamu mimi kuna kesi ya kupinga mkataba wa kihuni na kiwizi
Wewe nawe usiwe na ujinga kiwago hicho. Soma hata bichwa la habari ya huu uzi linasemaje. Ukipata jibu urudi hapa kutueleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…