Habari za jumapili wana JF.
Kama wao Simba wanatuombea duwa mbaya kati ya timu yetu ya Yanga dhidi ya Al-Ahly, basi nasi tunajibu kwa duwa mbaya dhidi yao na Prison, Prison piga Simba bao 3-0 warudi kwa mganga wao wakadai hela yao ktk kipindi chao hiki cha ukata, yaani wachezaji wao hata bar hawaonekani walivyochacha na leo uwanjani watu kiduchu.pole yao.