Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Haya mkuu, hivi si ndio wewe ulikuja na tule tutakwimu twako twa yanga na mnyama kabla ya ile mechi??
Simba bingwa, kama hutaki basi!!
Ukiona kimya ujue mnyama kauwawa
Nimesikia kuwa Star Tv wataonyesha live ligi kuu ya bara!
simba 1 mtibwa 0