Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Naona hawajampanga Okwi, kwa hiyo wameamua kuheshimu maamuzi ya kamati ya TFF?
 
mkuu hizo taarifa sidhani kama zilikuwa sahihi.
na inasemekana hata eddo alipost hayo matokeo, alivurumishiwa matusi...na inasemekana ndio chanzo cha yeye kujitoa fb.
Kumbe ndio kisa cha kujitoa fb yule jamaa...
 
Waliopo uwanjani mtupe matokeo wakuu tunayajitaji sana simiyu ni mbali sana na uwanja wa taifa.
 
hiki ni kikosi cha CUSC v JKT

Said Lubawa Hamad Juma Othman Tamim Juma Nyoso Mbwana Kibacha Jerry Santo Atupele Green Razakh Khalfan Yayo Kato Danny Lyanga na Kenneth Masumbuko. Sub ni Mansour Alawi Abdi Banda Yusuf Chuma Mohammed Miraji Ayoub Semtawa Suleiman Kassim na Abdullah Othman.
 

Mkuu asante kwa taarifa, huu ni ushauri wangu kwako, jitahidi kuwa unaweka koma kati ya jina la mtu mmoja na mwingine ili kurahisisha usomaji.
 

mbeya city mbona unaidharau hivi......tunachukua ubingwa kwa taarifa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…