Azam nao wanakuja kasi, angalieni jamaa wasiwashike maana mpira hauna adabu.
Tupo wengi sana wakuu, soka ni burudani nzuri sana.kumbe mpo wengi aiseee....
There are currently 126 users browsing this thread. (29 members and 97 guests)
- ndetichia*,
- Mkirua,
- freddie063,
- namanyele,
- Makoye Matale,
- Kambaku,
- ndomyana,
- Kiligo,
- Maganga Mkweli,
- Awo,
- Mkulima wa Kuku,
- GIUSEPE,
- NGANU,
- Masuke,
- IPILIMO,
- Bwaga ya moyoni,
- TIMING,
- Jibaba Bonge,
- Baba V,
- Nyenyere,
- popiexo,
- mchambuzixx,
- Lyangalo,
- Mzururaji,
- kbm,
- Pendael laizer,
- Chang'o,
- araway,
- Kahema
mie Simba damu mkuu, nawapongeza kwa kutoa drooo
Pole kwa ban, kisa yanga au kule kwenye siasa?
Mpira hautabiriki inawezekana kabisa.Ati yanga itatema ubingwa!
Hahahaah! Pole sana, jukwaa la siasa ni danger zone unatakiwa ujitoe mhanga.mkuu Katavi utafikiri na wewe ulishiriki kunipa ban,ulijuaje kama kwenye jukwaa la siasa ndo nilipatiwa ban?
kuna lijamaa la CCM nililitukana kwa kauli zake za kijingakijinga
Hahahaah! Pole sana, jukwaa la siasa ni danger zone unatakiwa ujitoe mhanga.
...so if things end this way, there will be a point difference of 5...mnyama akiwatungua tofauti ya pointi 2 na Azam..Duh!
sirudii kupost wala kutoa comments jukwaa la siasa,nitakuwa msomaji tu basi,wale jamaa kule hawafai kabisa mana waweza kukufuata hata unapoishi na kukung'oa meno,macho na kucha kwa kutumia koleo
lakini bado ubingwa wetu.!!
Yanga kabakiza mechi 3 na zote atachezea nyumbani,ni dhidi ya Coast Union,Ruvu Shooting na wakalia LIBOLO FC(Simba)
tunahitaji point 4 tu kutangaza ubingwa
Masahihisho:
Ni Ruvu JKT siyo Ruvu Shooting.