Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Mm nitawahi pale mida ya tisa nitakuepo ndani natafuta pozi ambalo mashabiki wa Lambalamba watakua wengi ili nipate kufaidi uhondo. Labda ni ku PM no Yangu unitafute ukiingia.
 
Mm nitawahi pale mida ya tisa nitakuepo ndani natafuta pozi ambalo mashabiki wa Lambalamba watakua wengi ili nipate kufaidi uhondo. Labda ni ku PM no Yangu unitafute ukiingia.

poa nakusubiri kwenye PM nipate namba yako,hata mm nitawahi sana leo ila nitakuwa pale nje napata beer zangu kwanza ndo naingia uwanjani ili niwe fuul mzuka kuishangilia Azam
 
Before the sturday's games? you are right!...tutarudi hapa kuongelea hii hoja yako baada ya games za kesho,au siyo Mtani?
lete taarifa sasa, mechi za Jumamosi zimeisha na Simba SC kaisha mgalagaza Azam 3-1, who is looser!!!
 
lete taarifa sasa, mechi za Jumamosi zimeisha na Simba SC kaisha mgalagaza Azam 3-1, who is looser!!!

Cream (YASC) inaendelea kupanda kuelekea juu pale kwenye table wakati zile pumba (mtu na mchumbaake) zikianza kushuka taratibu.
 
Cream (YASC) inaendelea kupanda kuelekea juu pale kwenye table wakati zile pumba (mtu na mchumbaake) zikianza kushuka taratibu.
Mtasubiri sana kushika nafasi ya kwanza lakini mnyama ndo ameshanogewa kuiachia sio rahisi labda raundi ya pili lakini sio hii, hizo mechi tatu mlizobakiza kukamilisha raundi ya kwanza mtafungwa moja, mtadroo moja na moja ndo mnaweza kushinda wakati sisi tutashinda zote na kuzidi kujikita kileleni.
 
Game ya mwisho raundi híi Coastal Union vs Yanga @Mkwakwani.
Sidhani kama timu ya wananchi itatoboa...
 
Game ya mwisho raundi híi Coastal Union vs Yanga @Mkwakwani.
Sidhani kama timu ya wananchi itatoboa...
.....hicho ni kimeo kinawanyemelea, labda Manji aachie fungu la walipa kodi lifanye kazi.
 
.....hicho ni kimeo kinawanyemelea, labda Manji aachie fungu la walipa kodi lifanye kazi.

It doesn't work at Coastal Union, hiyo hela aidedicate tu katika kujenga motisha wa timu yake.
Fitina kwetu mwiko...
 
RATIBA;

31 Oktoba

Yanga v Mgambo

Polisi Moro v Simba

Toto Africans v Kagera Sugar

JKT Ruvu v African Lyon

JKT Oljoro v Mtibwa

Ruvu shooting v Prisons

1 Novemba

Azam v Coastal Union
 
Naomba hii thread iwe ya kudumu kwa ajili ya matokeo na msimamo wa ligi.
 
Nyie Watanzania,
Ligi za nje mnachagia na ku - Update lakini za hapa BONGO hakuna anayashughulika.
Nimewachoka.
 
Ligi kuu Bara
Sat 03/11/12
Ruvu Shooting vs Toto Africans
African Lyon vs JKT Mgambo
Kagera Sugar vs Tanzania Prisons
 
JUMAMOSI 03/11/12
Ruvu Shooting vs Toto Africans
African Lyon vs JKT Mgambo
Kagera Sugar vs Tanzania Prisons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…