Kumbe Yanga wameshinda kwa goli 1: ambalo kwa mjibu wa kocha wa Polisi Dodoma anasema lilikua la utatanishi, kwani limetokea baada ya striker wa Yanga kumnyanga mpira mkononi kipa P.Dodoma na kuutumbukiza wavuni.
Ndo ivo,point 3 kibindoni,samaki huwa harudi reverse!Kumbe Yanga wameshinda kwa goli 1: ambalo kwa mjibu wa kocha wa Polisi Dodoma anasema lilikua la utatanishi, kwani limetokea baada ya striker wa Yanga kumnyanga mpira mkononi kipa P.Dodoma na kuutumbukiza wavuni.
Mkuu kwani sisi tuliwalazimisha kusua sua mechi za mwanzo, pamoja na kutufunga na leo tumedraw bado tunaongoza.Daaah
Simba kweli ni baiskeli ya udongo, nimeamini
siku zote huwa nasema mfa maji haishi kutapatapa sasa weye ulitegemea aseme kalifurahia gol walilofungwa kwani hajipendi/hapendi ajira yake sababu muhimu coz huwa wanatoa ripoti ya mchezo kwa ujumla na reason ya kufungwa
Duh sina hakika kama wewe ni mwana michezo kweli. Kwa hao waliocheza ni wachezaji wa Yanga? Mtatafutana sana mwaka huu lakini Yebo yebo anaendelea kugawa dozi. He who laugh last laughs longerSababu ya kudraw leo inaweza kuwa ni kwa sababu wachezaji watano wa kikosi cha kwanza hawakucheza, lakini kwa waliocheza wamejitahidi maana tulikuwa tushalala.
Mkuu lakini si kweli mmetangulia kwa baiskeli ya miti na unaonaje spid ya jamaa hatimaye anawapumulia masikion akitokea mkiani
Mkuu soma basi kati kati ya mistari, mimi sijasema kama ni wachezaji wa timu nyingine, nilichosema wachezaji watano wa kikosi cha kwanza (Said Cholo, Victor Costar, Jerry Santo, Amir Maftah na Emmanuel Okwi) hawakucheza leo sasa na huo ukweli huutaki nao, mmefurahi utafikiri mnaongoza ligi, leo penyewe mmeshinda kimagumashi.Duh sina hakika kama wewe ni mwana michezo kweli. Kwa hao waliocheza ni wachezaji wa Yanga? Mtatafutana sana mwaka huu lakini Yebo yebo anaendelea kugawa dozi. He who laugh last laughs longer
Bado tuko mbele na baiskeli yetu ya miti tunajikongoja.Mkuu lakini si kweli mmetangulia kwa baiskeli ya miti na unaonaje spid ya jamaa hatimaye anawapumulia masikion akitokea mkiani
Bado tuko mbele na baiskeli yetu ya miti tunajikongoja.
This is too low mkuu...hii spid naona niyakawaida sana, Yanga inapata ushindi wa mashaka kila mara, hivyo sihamini kama si nguvu ya juice
mkuu.
Maneno ya mkosaji?......Na jumamosi ya tarehe 29/10/2011 tulishindaje?mmefurahi utafikiri mnaongoza ligi, leo penyewe mmeshinda kimagumashi.
Goli lenu lilikuwa halali lakini sisi tulinyimwa penati Okwi aliangushwa ndani ya 18 halafu badala ya penati ikapigwa faulo nje ya 18, jana polisi wamefunga goli zuri refa kalikataa, Asamoa kanyang'anya mpira mikononi mwa golikipa na kusukumiza wavuni likahesabiwa goli. hayo ya kwetu ya jana nilimsikia kocha wa Moro anasema hajafurahishwa na matokeo kwa sababu walikuwa wanaongoza zaidi ya goli mbili na come back ya Simba hadi kusawazisha na kulikuwa na nafasi ya kuongeza goli la nne basi haikutokea lakini aliwasifu wachezaji wake kwani ni wachanga na wengi wao walikuwa wanawasikia Boban, Sunzu, Kaseja lakini jana wamecheza nao.Maneno ya mkosaji?......Na jumamosi ya tarehe 29/10/2011 tulishindaje?
Moro Utd wanalalamikia magoli yenu pia mtani....

Mkuu punguza unazi utakuja kufa kwa presha,umeshapumuliwa kisogoni.Goli lenu lilikuwa halali lakini sisi tulinyimwa penati Okwi aliangushwa ndani ya 18 halafu badala ya penati ikapigwa faulo nje ya 18, jana polisi wamefunga goli zuri refa kalikataa, Asamoa kanyang'anya mpira mikononi mwa golikipa na kusukumiza wavuni likahesabiwa goli. hayo ya kwetu ya jana nilimsikia kocha wa Moro anasema hajafurahishwa na matokeo kwa sababu walikuwa wanaongoza zaidi ya goli mbili na come back ya Simba hadi kusawazisha na kulikuwa na nafasi ya kuongeza goli la nne basi haikutokea lakini aliwasifu wachezaji wake kwani ni wachanga na wengi wao walikuwa wanawasikia Boban, Sunzu, Kaseja lakini jana wamecheza nao.
Na Moro Utd wali-expose weaknesses za hawa jamaa.Maneno ya mkosaji?......Na jumamosi ya tarehe 29/10/2011 tulishindaje?
Moro Utd wanalalamikia magoli yenu pia mtani....
Mkuu punguza unazi utakuja kufa kwa presha,umeshapumuliwa kisogoni.