Mimi namjua Asamoah tu.......Fikiria Asamoah anapata pande la Rashid Gumbo 'Fundi' kutoka kona ya kushoto,anajitwika kichwa kinaenda upande wa kulia wa goli Kaseja anaenda kushoto........Gooooooooooooooooooooooooal..........Yanga 1:0 Simba.......................Kamoja tuuu....