hapo ndo unaalibu kutuita magamba! Sisi hatuwezi kuwa magamba mkuuu!vipi utakubali lile jina lenu magamba?...ujue tuna wadai jengo na uwanja zilijengwa kwa pesa za kifisadi kupitia manji(kagoda)....hahahahaahahah
ndo hapo hawataki ubingwa hawa!ubao wa kusukumia chapati!!
Leo huja wasikia mashabiki wenu wakishangilia CCM CCM CCM CCM CCM....hapo ndo unaalibu kutuita magamba! Sisi hatuwezi kuwa magamba mkuuu!
Kago anaingia labda atatuokoa...
kumbe kelele zoote zile hapa ndo mwisho wa mbio zenu, HAMTAKI UBIGWA MNATAKA NGAO TUUU!!??
hao ni mashabiki wa simba!leo huja wasikia mashabiki wenu wakishangilia ccm ccm ccm ccm ccm....
Toto 3 na simba 2
Toto 3 na simba 2
mkuu nashukuru kwa taarifa zako nipo mbali na redio ila napata pole kwa kufungwa lakini!toto 3 na simba 2