Toto siyo kwamba wana cheza mpira wa kutisha sana ila wanapokutana na simba hukamia sana matokeo yake tusipo jipanga wanaweza kutupiga nyingi...hizi timu za tanzania kama zingekuwa zina cheza mpira mzuri kama zinapokutana na simba au Yanga naamini soka letu lingekuwa juu sana....Hii mechi simba tukijipanga tuna wafunga tu lakini kama tutakaa vibaya 4 zinatuhusu....