Mie nadhani umefika wakati sasa tuachane na u-simba na u-yanga kwa maendeleo ya soka letu......miaka 50 tunao hawa jamaa na wameganda kwenye akili zetu kama nini lakini hakuna maendeleo...mie mpenzi wa SIMBA, lakini nategemea hata KANDAMBILI wataniunga mkono tuachane na hizi presha za bure na tu- focus katika maendeleo ya kweli katika soka letu.....TUJIVUE GAMBA!!!!