Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Full time: Yanga 2-1 Africa Lyon; Magazeti ya Yanga kesho utayasikia 'Yanga yaanza ligi'

Yanga ni timu ya kwenye magazeti, subiri hiyo kesho uone:
"Yanga yaua"
"Yanga yaanza ligi kwa kishindo"
"Simba wajiandae kwa kichapo"
nk.
 
Naam VPL-Tanzania leo timu kongwe ziko uwanjani: kama kawa Simba itaendeleza rekodi yake ya kutofungwa! lakini Yanga moto iliouwasha juzi utaendelea kuwaka au utazimika!!!! twende zetu uwanjani.
 
Naam VPL-Tanzania leo timu kongwe ziko uwanjani: kama kawa Simba itaendeleza rekodi yake ya kutofungwa! lakini Yanga moto iliouwasha juzi utaendelea kuwaka au utazimika!!!! twende zetu uwanjani.
<br />
<br />
mkuu,naangalia game ya england,nipo na kimeo changu mkonon hapa,plz tujuze updates za gemu hz za bongo,
 
Matokeo ya yanga na azam jamani mbona kmya au wote hamjaenda ground?
 
Duh! watatuhua kwa presha hao yanga mwaka huu! namwachia mungu mimi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…