Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Yaani pale mbele kuna kipre,boko haram,na mwaikimbanho halafu pasi za hatari toka kwa sure boy yaani haponi mtu wala mmasai.

Walioko benchi ni wazuri kuliko wanaoanza!
 
Azam hatoki leo hapa sokoine sisi sio timu ya watu kujitangazia ubingwa labda msubiri mjitangazie kwa jkt ruvu
 
Sawa ni sehemu ya matokeo wanambeya tunachohitaji ni burudani
Mbona inavyoonekana kama watu wa mbeya mmekubali hii gemu mfungwe tu! au kuna kitu kimejifinya kati yenu na azam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…