Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Mar 30, 2014 #3,281 nachid said: game la Yanga vp jamani km amepigwa niendelee kusheherekea Click to expand... Kapigwa....
nachid said: game la Yanga vp jamani km amepigwa niendelee kusheherekea Click to expand... Kapigwa....
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,655 Mar 30, 2014 #3,282 Wazee wa Alexandria & Uturuki wamefungwa na mgambo wa Handeni (tena wakiwa 10!). Bora na sisi tulifungwa na Mgambo 11
Wazee wa Alexandria & Uturuki wamefungwa na mgambo wa Handeni (tena wakiwa 10!). Bora na sisi tulifungwa na Mgambo 11
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Mar 30, 2014 #3,283 Jabulani said: Leo kwa mara ya kwanza simuoni mtu anayeitwa Makoye Matale katika threads za VPL updates Click to expand... alikuwepo akapotea....
Jabulani said: Leo kwa mara ya kwanza simuoni mtu anayeitwa Makoye Matale katika threads za VPL updates Click to expand... alikuwepo akapotea....
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,104 Mar 30, 2014 #3,284 Simba vipi?
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Mar 30, 2014 #3,285 nachid said: game la Yanga vp jamani km amepigwa niendelee kusheherekea Click to expand... unaambiwa kapakatwa 2 kwa 1 mkuu.
nachid said: game la Yanga vp jamani km amepigwa niendelee kusheherekea Click to expand... unaambiwa kapakatwa 2 kwa 1 mkuu.
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Mar 30, 2014 #3,286 Katavi said: Kapigwa.... Click to expand... Wakikaidi watapigwa tu.
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,341 Mar 30, 2014 #3,287 msimamo wa ligi bado yanga tuna nafasi ya ubingwa tuuuuu
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Mar 30, 2014 #3,288 Mgambo wa jiji nasikia leo wamekamata bidhaa za magendo za mhindi mmoja maarufu zilitotaka kuingizwa bandari ya Tanga.
Mgambo wa jiji nasikia leo wamekamata bidhaa za magendo za mhindi mmoja maarufu zilitotaka kuingizwa bandari ya Tanga.
S Shimbimly Member Joined Feb 9, 2014 Posts 46 Reaction score 4 Mar 30, 2014 #3,289 Yanga kitu gani mbele ya mgambo? Yanga daima nyuma mbele mwiko. Azam haooon!Kwa raha kabisa ndio mbigwa mtarajiwa.
Yanga kitu gani mbele ya mgambo? Yanga daima nyuma mbele mwiko. Azam haooon!Kwa raha kabisa ndio mbigwa mtarajiwa.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Mar 30, 2014 #3,290 Ngoja niwaite hapa cc: Makoye Matale, Balantanda
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Mar 30, 2014 #3,291 Cynic said: Wazee wa Alexandria & Uturuki wamefungwa na mgambo wa Handeni (tena wakiwa 10!). Bora na sisi tulifungwa na Mgambo 11 Click to expand... Sijui magazeti yao ya Mwanaspoti na Champion kesho yataandikaje.
Cynic said: Wazee wa Alexandria & Uturuki wamefungwa na mgambo wa Handeni (tena wakiwa 10!). Bora na sisi tulifungwa na Mgambo 11 Click to expand... Sijui magazeti yao ya Mwanaspoti na Champion kesho yataandikaje.
L leonk JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 274 Reaction score 73 Mar 30, 2014 #3,292 NGANU said: Ndomyana vipi mbona kimya au ndo maumivu ya tim yako ya yanga kwani ulisema hata kama kuna tim ya ukoo utashabikia yanga Click to expand... Ndomyana kapotea watu tunayataka matokeo ya mby jamani, najua mechi inakaribia kuisha tuhabarishe wakuu
NGANU said: Ndomyana vipi mbona kimya au ndo maumivu ya tim yako ya yanga kwani ulisema hata kama kuna tim ya ukoo utashabikia yanga Click to expand... Ndomyana kapotea watu tunayataka matokeo ya mby jamani, najua mechi inakaribia kuisha tuhabarishe wakuu
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Mar 30, 2014 #3,293 Hii ndo raha ya kushabikia simba na yanga lazima ukorofishane na majirani zako kama itavyokuwa kwa akina ndomyana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hii ndo raha ya kushabikia simba na yanga lazima ukorofishane na majirani zako kama itavyokuwa kwa akina ndomyana.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Mar 30, 2014 #3,294 Apa sokoine lazma ashinde japo anastahili kua bingwa NGANU said: Hivi inawezekana kweli azam akamaliza ligi bila kufungwa? sokoine lazima akae akija. Click to expand...
Apa sokoine lazma ashinde japo anastahili kua bingwa NGANU said: Hivi inawezekana kweli azam akamaliza ligi bila kufungwa? sokoine lazima akae akija. Click to expand...
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Mar 30, 2014 #3,295 Tujuzeni matokeo ya mbeya huko
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Mar 30, 2014 #3,296 Dk za majeruhi mcc1 prison0
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Mar 30, 2014 #3,297 Masuke hao wote Yanga.Vichwa vya habari kesho Yanga kafa kiume Tanga. Ahly iliyowatoa imeshajichokea imepigwa mechi zote 2 na bingwa wa Libya 1_0. na 3_2.Tena mechi ya kwanza imechezwa Tunisia kwa sababu ya hali ya salaam nchini Libya.
Masuke hao wote Yanga.Vichwa vya habari kesho Yanga kafa kiume Tanga. Ahly iliyowatoa imeshajichokea imepigwa mechi zote 2 na bingwa wa Libya 1_0. na 3_2.Tena mechi ya kwanza imechezwa Tunisia kwa sababu ya hali ya salaam nchini Libya.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Mar 30, 2014 #3,298 Mkuu nimechanganyikiwa kipigo cha tanga mcc1-,0 NGANU said: Ndomyana vipi mbona kimya au ndo maumivu ya tim yako ya yanga kwani ulisema hata kama kuna tim ya ukoo utashabikia yanga Click to expand...
Mkuu nimechanganyikiwa kipigo cha tanga mcc1-,0 NGANU said: Ndomyana vipi mbona kimya au ndo maumivu ya tim yako ya yanga kwani ulisema hata kama kuna tim ya ukoo utashabikia yanga Click to expand...
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Mar 30, 2014 #3,299 Mkuu Jabulani hawawezi kuitika hata kwa manati hao watu.
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Mar 30, 2014 #3,300 Hali ya usalama