Yanga walipotolewa na Al Ahly walisema hasira wanazihamishia ligi kuu. Leo wamefungwa utasikia wanasema hasira tunazihamishia kwenye mechi ya Simba. Halafu watafungwa na Simba tusubiri watasema hasira wanazihamishia kwa nani (naomba isije ikawa kwa YM)!