kaseja kanifurahisha balaa...
Nyie mambumbumbu fc lazima mpigwe leo... hata kama adui muombee njaa ila kwangu ngumu kuwashangilia ninyi.
kaseja kanifurahisha balaa...
alitoa boko watu wakatupia..Kaseja kafanya nini tena?
Mgambo 1-0 Yanga. Mende katikisa kabati.
Tulia mkalishwe...
dk 20 mgambo 1 - 0 yang
Naona simba hawana dalili ya kushinda