Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,528
gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,chuji,yondani,ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani
Kaseja, Okwi na Dida hawapo.
Kaseja, Okwi na Dida hawapo.
kwa upande wa mashabiki hakuna Rhino bali ni Simba kushoto mwa jukwaa kuu na Yanga upande mwingine.upande wa kusini watu ni wachache sana.lakini nje ni nyomi.sina hakika kama wataenda ndani now au fungulia mbwa
Kuna mkali mmoja wa Yanga kavaa kitumbo.huyu atakuwa kapiga bange.mbna anavua watu jezi nyekundu,na mpaka sasa amefanikiwa kuwabakiza watu wa4 tumbo wazi
Hee: wazee wa kung'oa viti Taifa, karibuni leo mng'oe viti vya zege hapo A. H. Mwinyi kama mna ubavu.
Safi sana awavue tu hao wang'oa viti.
Waliopo ni Ivo Mapunda, Yaw Berko na Amri Kiemba. Amir Maftah na Kigi Makasy wamepotea mithili ya ndege ya Malaysia.
Mbona hujamtaja Mohamed Banka.
Yanga imeingia uwanjani kupasha.Anaoneka Kaseja na Bartez goli na kusini,goli la Yanga hulindwa na wana Simba
Kiiza,Kavumbagu,Niyonzima wote watasubiri