Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,821
- 9,334
Aha nilidhani inaanza kwenye house halafu senate wana-approve. By the way hawana hiyo majority nadhaniImpeachment haitegemei senate. Kinachotegemea senate ni conviction na removal from office.
Watu wakikuchangia kufanikisha kufunga ndoa,huyo mke anakua wako peke yako au na wale waliochanga Wana haki nae?CCM Ilipaswa kugawana na vyama majengo na mali zote zililichumwa na kujenga na Wananchi wakati wa chama kiomja ikiwemo maofisi na viwanja vya michezo, haikufanya hivyo lakini pia sheria ya vyama vingi ilikuwa na mapungufu kiasi cha kuipa nguvu kubwa CCM, Ilipaswa kutengeneza mazingira ya ushindani sawa, ni kama vile sera ya vyama vingi ni udanganyifu tu.
Wapiga ramli wa usinge wako wapi 😂Kashinda kwa over 77 percent
Wana majority kote ila hawajafikia idadi ya senators kuweza kumpata na hatia na kumtoa madarakani.Aha nilidhani inaanza kwenye house halafu senate wana-approve. By the way hawana hiyo majority nadhani
Inaonyesha kuwa wengi wao ni wajinga na wapuuzi.Sijui ilikuaje Wamarekani wakakubali kutawaliwa na tapeli, mtu mjinga na mpuuzi kama Trump!
Mpuuzi wewe, kwahiyo Napelenga ni kichaa aliyesema bao la mkono?Vyama havina matawi wala ofisi sehemu kubwa ya nchi halafu mnataka kushindana na CCM,matokeo yakitoka mnadai mmeibiwa, CCM ina wanachama hai 14m
Kapita kwa kishindo.Vipi Ilhan kapita au karudishwa
Thubutuuu.Miaka 50 ijayo Marekani itakuwa chni ya utawala wa kiislamu.....
Just watchThubutuuu.
99% winnerVipi Ilhan kapita au karudishwa
Walimsema sana humu wale wazawa sijui wa Chicago ya Mpanda kuwa arudishwe kwao 😂99% winner
Saivi wakiona comments kama hizi, wanapita kama wanaaga maitiWalimsema sana humu wale wazawa sijui wa Chicago ya Mpanda kuwa arudishwe kwao 😂
Kama sio waoSaivi wakiona comments kama hizi, wanapita kama wanaaga maiti
HaiwezekaniiJust watch
🇺🇸🇮🇷⚡️— Trump linked the republican defeat in the US congressional elections to the war with Iran and rising gasoline prices.Wow! Just wow!
This a total repudiation of Trump.
Yaani miaka miwili tu baada ya kurudi madarakani kwa kujenga bonge moja la coalition, leo wapiga kura wa Marekani nao wameongea kwa kukataa kabisa sera za Trump.
Mtu unaahidi kuwa hutaanzisha vita. Baada ya mwaka unaanzisha vita ya kipumbavu inayovuruga uchumi wa dunia, unategemea nini?
Unaahidi utakamata na ku deport wahalifu. Unaingia madarakani unakamata na kuanza ku deport hadi raia! Unategemea nini?
Sidhani kama huu ni ushindi wa Democrats. Huku ni kukataliwa kwa namna Trump anavyoiendesha nchi.
Hivyo Democrats wasidhani kwamba wanakubalika kivile maana na wao walipewa fundisho na wapiga kura 2024 kwa kumchagua Trump.
Wow!
Wewe uko kwenye ndoto au, kwani matokeo huyaoni? Wale wote waliokuwa wanapigiwa kelele wameshinda. Chuki haziwasaidii. Siasa za wamerakani, wanazijua wenyeweTrump shikilia hapo hapo
Waislam wengi wanampinga Trump kwasababu dini Yao Malengo ni kuikamata US