UPDATES: US midterm election results

Mtizamo wangu ni kuwa 2024 Wamarekani walimkataa Kamala Harris na sio chama, Maana BIDEN alifanya vizuri kwenye uchumi na kama asingejitoa angeshinda tena, lakini Marekani bado haijawa tayari kwa Rais mwanamke.
Kingine BIDEN alionekana uwezo wake kiafya umeisha na Wamarekani hawakuwa na chaguo lingine. Trump alionekana bora kuliko Kamala, Historia ilionyesha kuwa Kamala amefika pale kwa sababu ya kubebwa na sio uwezo wake.
 
Senate and House going blue
Wakipata Senate 67 wanamng’oa Trump
Democrats wana udhibiti wa Senate, lakini bado hawajafikia theluthi mbili inayohitajika kumwondoa Trump.
Kwa mtazamo wangu, ushindi huu ni pigo kubwa kwa Trump. Lakini hata wakifikisha viti 67, bado watahitaji House kupitisha mashtaka na Senate kumtia hatiani kwa theluthi mbili ya maseneta waliopo
 
Vyama havina matawi wala ofisi sehemu kubwa ya nchi halafu mnataka kushindana na CCM,matokeo yakitoka mnadai mmeibiwa, CCM ina wanachama hai 14m
CCM Ilipaswa kugawana na vyama majengo na mali zote zililichumwa na kujengwa na Wananchi wakati wa chama kimjoa ikiwemo maofisi na viwanja vya michezo, haikufanya hivyo lakini pia sheria ya vyama vingi ilikuwa na mapungufu kiasi cha kuipa nguvu kubwa CCM, Ilipaswa kutengeneza mazingira ya ushindani sawa, ni kama vile sera ya vyama vingi ni udanganyifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…