Updates tafadhali: Secretarieti ya maadili ya viongozi wa umma

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Habari wakuu, nimeitwa kwenye usaili na secretarieti ya ajira katika utumishi wa umma. Nafasi ya afisa uchunguzi daraja la pili ofisi ya secretarieti ya maadili ya viongozi wa umma. Naomba kujua hawa wanashughulika na nn. na afisa uchunguzi anafanya kazi gani coz nimesoma uhasibu.
 
Nenda. Taasisi yoyote inayojihusisha na uchunguzi, hata kama ni kampuni kama vile kampuni za Insurance ambazo huhitaji kufanya investigations kali kutambua kama claims ni za kweli au la, huwa zinahitaji wataalam katika kada mbalimbali. Na hasa hiyo taaluma yako ya Uhasibu ni muhimu saana katika investigations za mahesabu ya fedha. Go...and fast!
 
Poa mkuu.
 
Ulipoomba kazi hukujua unaomba nini? Kweli ajira ngumu. Utajua ukipewa job description kama utapata hiyo kazi. Lakini utajibuje kwenye interview kama hujui hata shughuli za mwajiri wako mtarajiwa?
 
nenda ofisi za Legal and Humman Rights Center(LHRC) pale Sayansi karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii ISW au Kinondoni karibu na Biafra hao ndo wanajihusisha na mambo ya uchunguzi; au ni PM nikutumie namba ya Afisa Uchunguzi mmoja atakusaidia.
 
Jina la ofisi lenyewe linaweza kukupa clue ya kazi yako. Kifupi ni kwamba kazi yako itakuwa ni kutuchunguza sisi vigogo wa nchi hii kuhusu uhalali wa mapato yetu pia mbali na fedha utakuwa unachunguza nimevaa nini, nimekula nini jana usiku na nimelala wapi na nimelala na nani, na mambo mengine yanayohusu maadili (ethics) kwa ujumla. Tafuta miongozo mbalimbali ya code of ethics and conduct ya jamhuri ya muungano wa watz.
 
Back
Top Bottom