Ni KILI ya Mkwasa na Julio......
Hawa makocha wetu baada ya mechi watakuja na lundo la visingizio!
Ni KILI ya Mkwasa na Julio......
PingPong means table tennis!!unajua kuicheza ww?
Ni KILI ya Mkwasa na Julio......
Ndiye.
Hawa makocha wetu baada ya mechi watakuja na lundo la visingizio!
Kwa hiyo ni mtaalam wa wanawake na wanaume?
hahahaa......kwangu lina maana nyingine mkuu
Hawa makocha wetu baada ya mechi watakuja na lundo la visingizio!
Kwa "performance" ya namna hii, tunawaonea bure washabiki tukiwalaumu wanapokosa uzalendo na kuanza kuzomea!
Dakika 8 zimesalia pambano kumalizika.
Full time.
KILI 0 AMAVUBI 1