Updates rwanda vs taifa stars

Wanapiga mpira unatoka nje loh naona hatuna watu wa kupiga kona kabsa
 
Rwanda wanakosa goli hapaa kaseja kaacha golii kakimbilia mpira ukapigwa kwa ju umegonga mlingoti na kutolewa nje duhhhhhh kazi ipi
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
rwanda 1 kili 0
 
Wapwa naona jamhuri kajaza wavuta bangi wenzake tupu ni vituko amavumbi qwanacheza kama wako kigali loh kweli sikio la kufa ali......
 
Kiufupi mwisho wa matokeo ni aibu watanzania wacha nikale kingwendu pale manzese natoka uwanjani ni aibu tupu loh
 
Dk ni ya 32 gli limefungwa dk ya 23 na pepiere de olivier
 
Naona kocha wa rwanda micho anawaambia kaba samata kaba nurdin kwishna loh kazi ipo jamani yaani wanaruka ruka kama wamekunywa kingwendu
 
Ndugu zanguni ni vituko wachezaji wanacheza kama wamapeta valueeeeee naona boban kapigwa mguu wa kiuno kwa mara ya kwanza kaamka anampa mkono adui loh hii ni kituko
 
Kiufupi mwisho wa matokeo ni aibu watanzania wacha nikale kingwendu pale manzese natoka uwanjani ni aibu tupu loh

punguza jazba kiongozi; kwa Tanzania kufanya vibaya ni kawaida, labda itokee miugiza: we baki uwanjani u-enjoy kelele za watu.
 
Yaani tulivyozidiwa, Bora iwe halftime labda kocha atawaamsha wachezaji wetu toka usingizini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom