Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

slaa huna jipya moja ya sababu zilizompendezesha Obama kuja Tanzania ni demokrasia hilo linaeleweka wazi; hizi zako ni porojo demokrasia ndani ya chama unachokiongoza hakuna anzia kwenye huo mji wako kabla hujaihoji serikali!

cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Obama aliyazungumza hayo baada ya kuulizwa kwa kile kinachotokea egypt,
Tusipindishe pindishe ukweli,hata kama ni kweli kwamba upinzan unafinywa hapa kwetu
 
Wapinzani wa Tz ni kupigwa tu; kwani hiyo amri mnafikiri Obama ameiondoa?
 
Hamuwezi kumpa attention dr slaa kwakuwa waandishi wa habari wengi ni akina abdallah, omari, rashid, amina na mengine kama hayo kama ilivyo BBC Swahili

,mmmm,kwakuwa wengi wenu mnaubongo wa yai,kweli mnaweza msielewe,ile ilikuwa tungo tata,wenye masikio tu ndio waliosikia,na wenye macho walitazama gesture wakati akiyasema hayo.
 
Obama aliyazungumza hayo baada ya kuulizwa kwa kile kinachotokea egypt,
Tusipindishe pindishe ukweli,hata kama ni kweli kwamba upinzan unafinywa hapa kwetu

Dr hakuwepo na kwa kinyongo hasira zake hata TV hakuangalia msameheni.
 
Uandishi wa kishabiki kama huu kwenye hii thred ni upumbavu mtupu. Kura milioni 2 ndio kukaribia ikulu? Acheni ujinga wenu bana
 
,mmmm,kwakuwa wengi wenu mnaubongo wa yai,kweli mnaweza msielewe,ile ilikuwa tungo tata,wenye masikio tu ndio waliosikia,na wenye macho walitazama gesture wakati akiyasema hayo.

Na huu ubongo wako wa yai viza umeuweka kwenye kundi gani?
 
Huyu mzee ana wajinga wake wa kumsifia km mleta hii thred, ndio wanaofaidi ruzuku ya machadema
 
raisi wangu dr slaaaaa......tunajua haki yako ilipokonywa ila ipo na iko siku utaipata kama mnyika alivyo sema hii haki ilikuwa ni yangu iliyokuwa inacheleweshwa muda mrefu lakini leo imepatikana hayo ni maneno yaliyowai kutamkwa na mnyika mwaka 2010 wakati akitangazwa kuwa mshindi wa ubunge jimbo la ubungo.

------- wewe, hakuna rais anayeitwa slaa, hapa tanzania. Fanya kazi ya kujiletea kipato ulishe wanao km huna watoto ujipatie mkate wa kila siku acha kutumika kijinga hivi
 
Docter Slaa anagundua wafuasi wake wengi wa CHADEMA lugha inasumbua kidogo. Kawatafsiria uwongo nawenyewe wanampongeza hahahah. Dah nachomsoma slaa kagundua wafuasi wake huwa hawapendi kuumiza kichwa. Akionge tu wanakurupuka. Slaa umekimbia uongozi wa kiroho kwa tamaa zako za kimwili ukakimbilia wake za watu unafikiri hiyo dhambi itakuacha? Sasa sisi tujifunze nini kwako kama ukiwa kiongozi? Ushapotezaa tayari.
 
,mmmm,kwakuwa wengi wenu mnaubongo wa yai,kweli mnaweza msielewe,ile ilikuwa tungo tata,wenye masikio tu ndio waliosikia,na wenye macho walitazama gesture wakati akiyasema hayo.

Maneno haya ni ya First Lady? Atakayeongoza watu wenye ubongo wa yai!!! badala ya kutoa elimu analeta kisirani!! Kweli mmekutana.
 
Hamuwezi kumpa attention dr slaa kwakuwa waandishi wa habari wengi ni akina abdallah, omari, rashid, amina na mengine kama hayo kama ilivyo BBC Swahili
Kwani Abdalah,Omari au Rashid wana ugomvi na padri Slaa?
 
,mmmm,kwakuwa wengi wenu mnaubongo wa yai,kweli mnaweza msielewe,ile ilikuwa tungo tata,wenye masikio tu ndio waliosikia,na wenye macho walitazama gesture wakati akiyasema hayo.

Hapa umepotea mama yetu, tunakuthamini, tunahitaji ushauri na ukarimu zaidi toka kwako.Simamia neno ulilochagua toka ZABURI 1:1
 
Uandishi wa kishabiki kama huu kwenye hii thred ni upumbavu mtupu. Kura milioni 2 ndio kukaribia ikulu? Acheni ujinga wenu bana

Mjinga mwenyewe,unajua jumla ya kura zote zilizopigwa?au unalinganisha na idadi ya watanzania wote.
 
Ukishaingiwa na pepo ni matatizo. unabaki kuwa
mtu wa hiana na ufitini.

Watu wa mungu msaidieni dr. Muombeeni maana yeye mwenyewe hawezi ila kwa uweza wenu maana hajitambui.

"Ati Maaskofu kuombea amani ni unafiki" ?
 
Mkuu ifweero, husiangaike kutumia nguvu sana na wala kuchangia mara nyingi, mawazo yako tu yanaonyesha huko upande gani. Kwa mtanzania mwenye mawazo huru na fikra pana anajua kwamba nchi yetu ipo ktk wakati mgumu kisiasa. Nashauri tujadili hoja kwa uhuru badala ya kutanguliza ushabiki wa kisiasa.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema kwamba kitendo cha Rais wa Marekani Barack Obama kusema demokrasia siyo uchaguzi bali kuheshimu wapinzani kusikiliza watu na uhuru wa vyombo vya habari ni cha kupongezwa na ni ujumbe mzito kwa serikali ya CCM.

Dr Slaa amesema ujumbe huo wa Obama ni kwamba kiongozi huyo mkubwa anayeongoza Taifa kubwa duniani anaelewa kinachoendelea Tanzania.

Dr Slaa amesema ni wazi Marekani inaelewa kinachoendelea Tanzania kwamba ni pamoja na kupiga wapinzani, kusingizia wapinzani ugaidi na kufungia vyombo vya habari vinavyokosoa serikali.

Dr Slaa amesema kama kweli hii serikali ni sikivu basi iufanyie kazi kauli ya Rais Obama.``Hakika huu ni ujumbe mzito kwa serikali ya Kikwete`` amesema Dr Slaa.

Katibu Mkuu huyo anayetikisa siasa za Tanzania kwa sasa na mpinzani mkuu wa serikali iliyoko madarakani na aliyekuwa anakaribia kuingia Ikulu mwaka 2010 kwa kupata kura zaidi ya milioni mbili hakualikwa kuhudhuria dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Rais Obama.

Hata hivyo Professor Lipumba aliyekuwa namba tatu katika uchaguzi mkuu uliopita na kupata kura laki sita tu alialikwa kushiriki dhifa hiyo.

Source:MAWIO ALHAMISI
Upeo wa DR. Slaa ni mkubwa sana, nafikiri kama kuna siku itatokea Obama ongee na DR hata kwa dk 15 tu basi atagundua kwamba safari zake zote za kuja Tanzania alinyimwa kukutana na watu mwenye upeo.

Akili ndogo kuitawala akili kubwa - hili ni tatizo kubwa sana.
 
kuna dogo mmoja wa UDSM alisema our president was selected democratically and we reject him democraticary
 
Back
Top Bottom