KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 83
Nimependa hiyo
Kwa sababu ya kupuuza upinzani na kung'ang'ania kutekeleza agenda za kidini za chama chake cha muslim brotherhood. Tukubali; vyama vya kidini haviwezi demakrasia kwa sababu badala ya kua na ajenda ya kutatua matatizo ya watu hapa duniani vinafikiria kutii vitabu vitakatifu ili kuwapeleka watu ahera. Hiyo sio kazi ya serikali.Ballot box elected president Morsi of Egypt out ....
Haaaa haaa haaaa
Naona anatafuta attention ya media baada ya kupotezewa kwa muda.
Upeo wa DR. Slaa ni mkubwa sana, nafikiri kama kuna siku itatokea Obama ongee na DR hata kwa dk 15 tu basi atagundua kwamba safari zake zote za kuja Tanzania alinyimwa kukutana na watu mwenye upeo.
Alili ndogo kuitawala akili kubwa - hili ni tatizo kubwa sana.
Kudharau maoni ya upinzani ndicho kilichompata rais wa misri jana. upinzani ni sehemu muhimu ya demokrasia, na ukinyanyasa na kupuuza wapinzani unapingana na faida nzima ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi.
yes, hii ni tafsiri ya kwako na ze-wife wako , na kama ukithubutu kuipandikiza kwa watoto wako basi wewe hautakuwa tofauti na firauni.mhuni aliyekimbia kanisa kwa kuasi, akaenda kupora mke wa mtu anaongoza vijana kwa kuwafundisha uharamia wa kulisha watu sumu na kumwagia tindikali utamsifiaje hapa?
Huyu mzee ana wajinga wake wa kumsifia km mleta hii thred, ndio wanaofaidi ruzuku ya machadema
Dr Slaa na sera zake za "nchi kutotawalika" zimemfikisha pabaya sasa anatapatapa kujitafuta afanye nini.Nilivyomsikia Obama ni kuipongeza tanzania kwa kuendesha utawala wa kidemokrasia, kisheria na kujari haki za binadamu tena amewapongeza Kikwete na Dr Sheini pia amepongeza mchakato wa Katiba mpya. Kusema kuwa yeye alipata kura zaidi ya 2mill ndio kiwe kigezo cha kuitwa Ikulu naona hakuna mantiki yoyote, tena huyu babu inaonekana ataleta tabu sana mwaka ambao atapata kura zaidi ya 48%. Mjuzeni kuwa mshindi ndiye huwa anatafutwa, kuwa na mshindi wa pili au wengineo ni kuweka kumbukubu sahihi tu.
we mbona unatafuta attention ya JF kwa kuandika pumba, Mwache aseme anahaki ya kusemaNaona anatafuta attention ya media baada ya kupotezewa kwa muda.
umbumbumbu wa CCM wanafikiri Obama hajui kinachoendelea ndani ya Tanzania, kwa taarifa yetu Obama anajua kila chembe - hata aliyemuua mwandishi Mwangosi anajua kuwa ni serikali yenu. na ndiyo maana akatoa statement ile, shame on you. badilikeni mnaongoza chama kizamani (analogue nyie)
Kachelewa nini? kuwa fisadi? angechelewa wala asinge wasumbua kichwa kiasi hikiDr Slaa amechelewa sana.
Maneno haya ni ya First Lady? Atakayeongoza watu wenye ubongo wa yai!!! badala ya kutoa elimu analeta kisirani!! Kweli mmekutana.
kuna dogo mmoja wa UDSM alisema our president was selected democratically and we reject him democraticary
Hamuwezi kumpa attention dr slaa kwakuwa waandishi wa habari wengi ni akina abdallah, omari, rashid, amina na mengine kama hayo kama ilivyo BBC Swahili