Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

A-Ghanaian-girl-and-her-f-010.jpg
 
Nawashukuru wadau wote kwa kuhitimisha na kufuatilia ujio na kuondoka kwa Obama hapa Tanzania na Africa kwa ujumla.

wasalaam,

Shadow

Nilikuwa najiuliza hivi anaondoka saa ngapI??
 
Acha wehu ulitaka wamtoe vizur ye nani kwani? Asante TBC hatutaki hata kuijua sura yake.
 
kweli wee mtamu......huyo ni Rais wa Tanzania, makamu wake ndio yule aliekuwa mwenyeji wake....
 
TBC1 ni moja ya mikusanyiko ya "makanjanja" kwenye vyombo vya habari Tanzania
 
Mkuu nchi ilikuwa chini ya Marekani kwa muda, kwa hiyo rais mkuu wa Tanzania kwa muda alikuwa ni Obama, unacheza na rais wa dunia. Huwa naona wazazi wengine wanafukuza watoto wao na kusema usikanyage hapa tena, lakini kwa huyo mtoto wa Kenya amekuwa tofauti, wazazi wake wanalia kwa nini mtoto wao hajaenda kuwaona japo kuwapungia mkono tu akiwa airport.
 
Haipiti siku bila TBC kuchemsha nadhani morale za wafanyakazi pale zipo chini sana.
 
m11.jpg


Lango kuu la kuingia Ikulu (Picha zote kwa hisani ya Michuzi)

m2.jpg


Rais akiwasalimia wananchi waliopo hapo Ikulu kumlaki Obama.

m5.jpg


Upande wa Mashariki -Obama Avenue (Zamani Ocean Rd )

2013-07-01t123822z_692731751_gm1e9711l6e01_rtrmadp_3_africa-obama.jpg




2013-07-01t131607z_785290670_gm1e9711n1101_rtrmadp_3_obama-tanzania.jpg





73536541fa725515360f6a706700a4f5.jpg

dance.png


attachment.php

Mupya Barack rais wa tz!
 
Hivi hao wapiga vigelegele wametolewa wapi? Hawana kazi zingine za kufanya?
Hata mimi huajiulizaga hivi wale wanaokwendaga kwenye maandamano kila siku tena muda wa saa za kazi huwa hawana kazi nyingine za kufanya?
 
  • 460x.jpg


    U.S. President Barack Obama, right, and former U.S. president George W. Bush walk to meet with family members of the U.S. embassy victims during a wreath laying ceremony to honor the victims of the U.S. Embassy bombing on Tuesday, July 2, 2013, in Dar Es Salaam, Tanzania. The president is traveling in Tanzania on the final leg of his three-country tour in Africa. (AP Photo/Evan Vucci)



  • 460x.jpg


    U.S. President Barack Obama demonstrates "the Soccket Ball," which uses kinetic energy to provide power to charge a cell phone or power a light, during an event at the Ubungo power plant to promote energy innovation on Tuesday, July 2, 2013, in Dar Es Salaam, Tanzania. The president is traveling in Tanzania on the final leg of his three-country tour in Africa. (AP Photo/Evan Vucci)



 
Ujio wa rais obama umeipaisha ccm kwani obama amesema tanzania inaongoza kwa nchi za maziwa makuu kwa utawala bora, kutumia hela za miradi ya millenium challenge vizuri, hivyo kuwa pigo kubwa kwa wale waliofikiri wakikimbilia marekani na nchi za ulaya kama mh fulani ivi kupeleka fitina mh obama amekiri tanzania ni mfano wa kuigwa. Bila chaka ccm wamepata mtaji muhmu wa kisiasa watch out
 
  • 460x.jpg


    U.S. first lady Michelle Obama, right, and former U.S. first lady Laura Bush talk each other as they participate in the African First Ladies Summit: "Investing in Women: Strengthening Africa," hosted by the George W. Bush Institute, Tuesday, July 2, 2013, in Dar es Salaam, Tanzania. (AP Photo/Carolyn Kaster)



 
Back
Top Bottom