Mkuu Eistein taratibu basi kamanda, lumbumba na vibaraka vyao wakisikia hii matumbo yatahara full, hapa yenyewe hawajiwezi wako full taabani.
Makamanda wamejipanga sasa ni piga kote kote, lazima kila mtanzania asikie neno la ukombozi. Come october 2015, ukombozi kamili utapatikana
viva CHADEMA, peopleeeeeez!
nimecheka sana !
wazo la kuwa na media ya chama ni muhimu sana.... Kula like 1000 mkuu, lakini mkuu hivi sheria zetu zinaruhusu hilo kwa vyama vya siasa kumiliki rasmi media.. Yaani media hii iwe brand kabisa kwa chama fulani.. Karibu kama unafahamu chochote
hii ndo chadema tunayoihitaji,..--------- zito anajua kama viwanja alivopita vimechafuka hivi?
Mkuu kwa hali ya kisiasa nchi huwezi kufikiria kujenga mtandao kama wa CCM hata kidogo. CCM wamerithi Utajiri wake kutokana najasho lako wewe. kama kuna bepari nchini basi CCM ndiye wa kwanza na hivyo vita yako sio kuwa kama wao. Mtandao wao ni mkubwa na urubuni wao ni mkubwa hasa pale fedha inapotumika. Huwezi shindana na Tembo kuny...utapasuka msamba buree!..mengi uliyoyaeleza ni ya kweli.
..lakini hapa lazima tutofautishe mazingira ambayo CCM walijenga mtandao wao, na mazingira ambayo CDM wanajenga mtandao wao.
..kazi waliyoifanya ni kubwa. pamoja na hayo bado kuna kazi kubwa zaidi mbele ya safari
ziara ya zaidi ya mikoa 10 wanachama elfu 2 tena wa magumashi ! kweli siasa si mchezo !mkuu.. hapa zito aliambulia patupu akasingizia mvua....chadema MUNGU MBELE YETU
hivi kwa nini hafanyi mikutano zenji hata kwa jina la ukawa? yeye kila siku bara tu? aombe uraia tumpe
Hongereni cdm, kilichonifurahisha cdm mnakwenda kama taasisi na sio mtu binafsi.....
Wakuu...
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Kamanda Salim Mwalimu kutoka zanzibar anafanya yake ndani ya mkoa wa Njombe muda huu
Watu wamefurika kwelikweli.ni kelele kila kona...
Nawaletea kila kinachojiri hapa.
Bavicha mna mambo....mkuu.. hapa zito aliambulia patupu akasingizia mvua....chadema MUNGU MBELE YETU
The KICKS of the dying ass with their Crazy blind followers,Komaeni na hakikisheni mnashika ile IKULU ya Tengeru ! #TeamTENGERU Oyeeeeee....
..miaka mingi tulikuwa tunapiga kelele kuwahimiza CDM waende vijijini wakazungumze na wananchi wa kawaida. kwa mikutano hii nadhani ushauri huo umezingatiwa. kuna mapungufu ya hapa na pale, lakini hali inatia matumaini.
..kuna suala lingine ambalo tumekuwa tukilipigia kelele haswa ndugu yangu Nguruvi3. kwamba kampeni za uchaguzi zitakuwa rahisi zaidi kama Chadema watakuwa na redio inayosikika nchi nzima. hili tunaendelea kuwahimiza viongozi wetu walifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
cc Mkandara, Freeland, Rose Mayemba, Chademakwanza