Updates: Mkutano wa CHADEMA Mtwara Ukiongozwa na Tundu Lissu

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE , sasa ukichanganya na haya ma semina ya ndani ni hatari sana .
 
mwenyekit BVR mkoani mtwara Salimu Ally anasema atahakikisha anawahasisha vijana wenzake wa mtwara wanajiandisha kwenye daftari la kupiga kura kwa amani bila matisho,
anasema hataogopa kuongelea masuala gesi kwa ajili ya maendeleo ya wana mtwara,
mkuu hebu niweke sawa hiyo mwenyekiti wa BVR bado sijakupata .
 
Kamanda wa mtwara wekeni pichaaa,
Kama kuna wa kupelekwa India huku lumumba wawaishwe mapema maana wengine wapo ujerumani saa hiii

Huu mchakamchaka sio mchezo
 
16:30 muheshimiwa Tundu lisu yuko jukwaani sasa,
anasema ktk kipindi cha miaka 3 mtwara tumeona mambo mengi mazuri na mabaya,
anasema amekuja ili kutuambia ukweli wa mambo mengi yaliyotanda ndani ya inchi hii,
anasema leo tar 26-4-2015 Tanzania ina miaka 53 ya uhuru,
lkn ukienda kwenye kona yoyote ya tanzania ni kilio,
anasema wilaya ya geita ndio inayoongoza kwa kuwa dhahabu nyingi duniani lkn ni wilaya masikini ajabu,
anasema gesi iliyogundulika mtwara ni nyingi kuliko iliyogungulika ukanda wote Rvuma base kwa upande wa msumbiji, lkn gasi hii imeanza kuwa laana kwa wanainchi wa mtwara,
anasema ameshangaa kusikia ccm wamempa hekari nyingi sana mfanya biashara Dangote ili kujenfa bandari yake binafsi ili kusafirisha gesi kwenda ulaya, anasema gesi iliyogundulika mtwara ni wana mtwara kwa vile mtwara ni mkoa mmoja wapo wa taifa la tanzania,
anasema gesi hii imepewa wazungu wanaolala Nairobi lkn wanachimba gesi tanzania,
anasema wazungu hawa wameshachimba gesi kwa miaka 15 sasa lkn Tanzania haijafaidika kwa lolote hadi sasa,
anasema tusijidanganye kuwa umasikini wa watanzania kuwa umeletwa na mungu bali umeletwa na utawala wa inchi hii,
 
Hizi tarehe siyo nzuri kwa tundulisu wawe makini anaweza kusaula jukwaa nadhani kila mtu anajua tatizo la lisu.
 
Huko hapo?kwa nini usitubariki na picha?

Swissme
 
Mods pandisha hii plz
 
anasema serikali isirogwe kukifuta kikundi chao cha red brigade,kwani wamejiandaa kikamilifu.
watu wanashangilia kwa nguvu.

eti wako tayari kwenda msituni
 
Wananchi wa Mtwara wakipata somo la Lissu
 
Attachments

  • 1430057973456.jpg
    1430057973456.jpg
    118.9 KB · Views: 7,700
  • 1430058052899.jpg
    1430058052899.jpg
    76 KB · Views: 761

Similar Discussions

Back
Top Bottom