Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

hakuna dawa....janga la ccm
Wamama kuzalia chini....janga la ccm.,mtaendeleza wengine.
 
kamanda paulina kekuru nae anapanda hapa kutoa salam
 
anasema ng'ombe hanenepi siku ya mnada,anahamasisha maandalizi ya ukombozi yaanze mapema.
 
anawaambia klm wameshakombolewa,na ccm ni chama cha upinzani,pia anahamasisha wanadodoma wajiandae kuandikisha majina katika daftari la kudumu la wapiga kuna,wakati huhuo Mnyika anaingia
 
Machemli anapanda hapa
Na anasema hodi ili watu wafungulie na aweze ingia
 
Anasema jamuhuri ya ukerewe ye ndo raisi kule ccm ni chama cha zaman ktk kata 24 za ccm ni 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…